Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

ED9D2B3F-6ABB-404B-8591-AD09FAFB111E.jpeg

Eti dosho12 kwani umezipoteza?
 
Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.

Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea hata ukilazwa.
Amka hapo nenda ukatafute hela.
Acha uvivu.
Muone.
Kusema ukweli sina hamu na ndugu kunitembelea, niwe na hela au sina!
Madhara na Mali walizo jirithisha INATOSHA!
Waniache niishi nitakavyo kama nami nilivyowapa nafasi hiyo...
 
Upo sahihi kabisa ila kutegea mtego huko ndio kutafuta kwenye km unamsaka panya ukamkosa sasa ili umpate kirahisi unategesha tego akipita tu kanasa ila mwanzo ulikua unamtafuta haumpati
Unajua kibongo bongo tumezoea kwamba kutafuta hela ni mtu kuchacharika huku na huko, mara kusafiri huku na huko, lakini deep down kuna watu wanaonekana wapo simple tu hawachachariki lakini wanaingiza pesa nzuri tu, na mda huo huo jamii inawachukulia kama ni wazembe na hawachachariki kutafuta pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom