hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,038
- 72,665
💯Tafuta hela kwa ajili ya maisha yako na maendeleo yako, siyo kwa sababu ya kundi fulani la watu.
💯Tafuta hela kwa ajili ya maisha yako na maendeleo yako, siyo kwa sababu ya kundi fulani la watu.
umenielewa lakini nachomaanishaLazima ndugu waje ukiwa mfuko umetuna,
Walokole wapo mitamboni 24/7sameja leo ni Jmos walokole hawapo makanisani mpaka keshow
PESA unapata kwa SIKU HUKOSI walau side hustle ya 50k daily ila unashangaaHahaha yaan unamaanisha vice versa is true au mimi ndio sijakuelewa Dokta?
matajiri waliozipata hawana kelele nyingi hivi na hawakushauri ukatafute pesa,wao na maisha yao hivyo tu,sasa unamwambia nini mwenzako ilihali wewe umezitafuta hujazipata🤣🤣Amka ukatafute zipo kila sehemu jicho lako tu
Amka ukatafute zipo kila sehemu jicho lako tu
haya kapambane nao na yale makelele yao uwihWalokole wapo mitamboni 24/7
Semeja usinisemee kwa min me 😊 😁haya kapambane nao na yale makelele yao uwih
Ziko kwenye meli za ngada..Mnaposema tukatafute hela mnamaanisha nini ? hela nyingi ziko sehem gani sasa?
Utafute Hela kwani nimezipoteza?.Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.
Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea hata ukilazwa.
Amka hapo nenda ukatafute hela.
Acha uvivu.
Muone.
Uzi ufungwe, 🔥🔥🔥Pesa ina siri masta ! Pesa ni formula!
Unadhan ambae hana hela hapambani? Ama ni mvivu ?
Unadhani mwenye pesa ndo anapambana sana ?
Ishi nayo hiii
SurePesa ina siri masta ! Pesa ni formula!
Unadhan ambae hana hela hapambani? Ama ni mvivu ?
Unadhani mwenye pesa ndo anapambana sana ?
Ishi nayo hiii
Hilo nalo nenoumenielewa lakini nachomaanisha
Halafu kwa tafsiri yako hiyo na unajisifia kabisa kuwa unaikubalii,ndugu wa kweli atakuja hata kama huna kitu,na ndiyo maana nakuambia ndugu anaekuja wakati umefanikiwa hao ni kama chawa au kupe hawana msaada kwako bali kukufiata kwa ilichonacho tu,ndugu aliekua na mimi kwa hali zote huyo unakula nae vyema kabisa sio mnafiki huyo