Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

Unajua kibongo bongo tumezoea kwamba kutafuta hela ni mtu kuchacharika huku na huko, mara kusafiri huku na huko, lakini deep down kuna watu wanaonekana wapo simple tu hawachachariki lakini wanaingiza pesa nzuri tu, na mda huo huo jamii inawachukulia kama ni wazembe na hawachachariki kutafuta pesa.
Upo sahihi kabisa mkuu yaan umesema vizuri na vyema kabisa, mimi nimekuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom