Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi


3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine


8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga

Hahaha kabisa yan..[emoji23][emoji23]
 
Mwanaume kuzijua dalili nyingi kama ulizoandika lazima uwe ni shoga
Jipe moyo mimi sidhani kama ukimtambua mbaya wako na wewe ni mbaya au akimtambua mwizi wako na wewe ni mwizi mkuu nakuhakikishia wewe na wenzio ni mashoga wa kitambo sana halafu wengi wao ni mibaba ya zamani sana saivi inaelekea kuwa babu.

Huo ni utasi tuu wa kuyaelewa mabo ya dunia mimi nina girl friend wako mzuri tuu kama sikutambua tabia zake nisinge mthamini.

Kujifanya huyui mambo ni upuuzi tuu. we na nyani ngabu, ndege john, ravyoungr ni mashoga wa kutupwa
 
Jipe moyo mimi sidhani kama ukimtambua mbaya wako na wewe ni mbaya au akimtambua mwizi wako na wewe ni mwizi mkuu nakuhakikishia wewe na wenzio ni mashoga wa kitambo sana halafu wengi wao ni mibaba ya zamani sana saivi inaelekea kuwa babu.

Huo ni utasi tuu wa kuyaelewa mabo ya dunia mimi nina girl friend wako mzuri tuu kama sikutambua tabia zake nisinge mthamini.

Kujifanya huyui mambo ni upuuzi tuu. we na nyani ngabu, ndege john, ravyoungr ni mashoga wa kutupwa
Kutaja taja majina ya wanaume ni dalili kubwa sana ya ushoga.
 
Kula chipsi sio ushoga ila isiwe tuu much maana utaanza kupenda dezo sana.
Kuvaa nguo zenye urembo urembo nao ni ushoga kama we ni mwanaume wa kweli vaa nguo yako yenye nembo ya shujaa na sio maneno ya ajabu
Kuwaza ushoga muda wote kama ufanyavyo wewe nao ni ushoga.

Big shoga wewe.
 
wewe tumekuchana live ndo maana unaumia moyoni hadi sasa na umekomalia huu uzi ili kujibu mapi mapigo ila nakuhakikishia hatushindani we ni basha hilo halina ubishi.

Na kuna wanaume wa mombasa washakubandua humu.
Kuona maruerue na kujiaminisha kuwa ndo uhalisia nao ni ushoga tu.
 
Kuvaa visuruali vinavyobana nayo ni dalili za kumegwa.
Kusikiliza taarabu na kuweka viurembi urembo kwenye mali zako huo nao ni ushoga kumbuka utoto mwingi huza ushoga.
 
Pia mwanamke kujishika kiuno kwa mikono miwili ni ushoga
 
natumaini wale wanaotoka kanda maalum ya kipolisi wamepata zote.
sisi wa bush haya hatuayajui.
wamesikia watabisha kwa mazoea ila ndio ukweli.
mabishoo wengi wanapenda tabia za kike na wengi wanaudhaifu hivyo hutumia mazingira hayo kuficha udhaifu wao.
lakini yote haya yanasababishwa na wanaume kutelekeza familia na watoto kulelewa na mama au wafanyakazi wa ndani
 
Kwanza. Pole sana kwa kujizoesha na kukariri maisha
pili, mazoea tu hayo hamna ukwel wowote
Matendo ya mtu ndo tabia ya mtu kufanya hvyo haimaanishi unavyodhan ww
ushazoea kukariri
poleeeeeeeee
kugema mazoea humwangusha mgema
pole sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Dawa yako kuingiziwa pilipili ya mkundunii na kuwekwa gundi ya mkunduu tu wewe tukikusamehe sana tunakuingizia jiti lililoshika moto
 
Back
Top Bottom