Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume kuwajadili wanaume wenzake kama ww mkuu,
HIZO NI DALILI ZA UPUNGA.
Tafuta kazi ufanye
 
Nani awaheshimu nyie mashoga?

Matusi hayo, hata kama wewe ni mwenye madaraka na dicteita kama ulivyo, I guess, heshimu wenzako . By fake IDs with anonymity, it is a grave sin to call your fellow members shoga
 
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi

3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine

8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
Au unakuta mwanaume kavaa skin jeans ya pink wenyew wanaita modo,katinda nyusi,kapaka lipstick,kaweka dawa nywele kabeba begi ndan take ameweka toilet paper,leso 2,kioo,perfume, mafuta ya nywele,lotion,pipi kijiti,chocolate, selfie stick afu story zake umbea umbea tuuu
 
Mkuu mbona povu jingi sana? imekuuma eeh? ndo ivo uache swaga za kike we kwanza mtu mzima sana hapa ndani.

Au mwenzetu we kibabu sio rizki? dume la kweli haliwi na majungu we umechanwa na jembe hapa tulia tuu kamwambie mama akupikie chakula cha usiku maumivu yaishe gebew weew.

Unaililia sana marekani we nenda wakubandue mnduku huo lafa mkubwa.
Hatari sana!

Hata sitamina hawezi imba punch kama hizi!
 
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi

3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine

8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
Na hizi, "xaxa, xawa, xaivi" X instead of S. Unazionaje?
 
Back
Top Bottom