nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,508
Kuna baadhi nimekuelewa lkn kuna sehemu umenikomfyuzi kidogo. Kwa mfano mwanaume anachati na demu wake, mwanaume akamwambia NAMBIE WANG atakuwa amekosea, au ni mwanaume kumwambia mwanaume mwenzake