Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Achana na mashoga. Hutoweza kuwabadilisha chochote mkale, shoga ni shoga tu.
 
Achana na mashoga. Hutoweza kuwabadilisha chochote mkale, shoga ni shoga tu.
Akili ndogo kukariri maisha si ajabu! inawezekana hata babako anayatumia sana hayo maneno so ni uchizi kumwambia mwanamme mwenzio ushoga kama hujambasha au kumuwekea walakini ikiwa huwezi kuthibitisha uanamme wake mafala ka nyie huwa mateke tu afu heshima inaingia
 
Hapo sijawananga bali nimewachana ,kama na wewe ni miongoni mwao jiandae kuvuliwa umember humu jf hatuhitaji machoko humu

Alikuwepo huyu choko rayyoung akaondolewa mara moja bado wewe sasa
Wasomi tunatumia maneno yoyote tunayojua maana yake si kwa kukariri, yaani wewe unaonekana hujui hata maana ya "Hi" na hayo maneno mengine yote so umebaki kuwa governed na emotions na sio akili so huo ni uchoko
 
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi

3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine

8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
3, 5 na 9 hata mie zinanichefua....
 
Akili ndogo kukariri maisha si ajabu! inawezekana hata babako anayatumia sana hayo maneno so ni uchizi kumwambia mwanamme mwenzio ushoga kama hujambasha au kumuwekea walakini ikiwa huwezi kuthibitisha uanamme wake mafala ka nyie huwa mateke tu afu heshima inaingia
Bila shaka utakua shosti wewe
 
Akili ndogo kukariri maisha si ajabu! inawezekana hata babako anayatumia sana hayo maneno so ni uchizi kumwambia mwanamme mwenzio ushoga kama hujambasha au kumuwekea walakini ikiwa huwezi kuthibitisha uanamme wake mafala ka nyie huwa mateke tu afu heshima inaingia
Una hamu ya dudu?

Humu kwa bahati mbaya hatufagilii machoko nenda huko kwa machoko wenzako humu JF ni mtandao wenye heshima yake.
 
Huna urijali wowote, kwa kuona kuwa "Hi" ni ya wanawake. (Hii ni English)
Uswahili umekuzidi mpaka leo unaona "mambo" ni ya wanawake. Ww kama c, shoga basi wkt ulipokuwa unatumia neno Hi, na Mambo against wanaume ulikuwa na dalili za ushoga. Kwa mtindo huo kwenu kama mko wengi basi hata wengine inawahusu.
 
Back
Top Bottom