cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,083
- 10,118
Sasa mbona wewe umeandika hayo yote
Mlenda mlenda kule.Wanaume Wa pwani ndio wana vile vimaneno flani ivi cjui thawa, poyee, nk huku bara hakunaaaa, hata wachana marinda huku c wengi kama pwani
Mchele mcheleJe wale wanaosema jomon
Wanadarsalama, wanaizengo mnazingua sana, hv dume zima linasema "sema chacha", haya bhana",au ccter, kwa maana ya dada, mnashangaza sana, ndio maana mnagombania mawe ya kusugulia miguu na dada zenu, ngoja tusikitike kwanza, tse tse tseWanaume wa dasalamu bhana,
Mkapimwe kwanza
Kabisa yani dume zima unakomaa unasema mambo juma?,au mambo shabani ?
Au ,"Hi brigedia" haipendezi kwa kweli
Wanaume salamu zetu " habari za sa hizi, inakuaje, shwari,kamili, au labda shikamoo kwa waliokuzidi umri
Lakini kumwambia mambo mwanaume mwenzako unakuwa unazingua
Alafu hiyo kuvaa kipuri au cheni pia haileti picha nzuri kwa kuwa tu umewaona watu wa ulaya wanavaa na wewe unataka uvae ndio ushoga unapoanzia hapo kuiga iga vitu hovyo
Sawa na ben paul alivyoiga kuvaa sketi





Nimecheka sana!na pia mwanaume upo busy unaimba nampa papa ya gigy
Au "jomoni"Sio utani mkuu hii kitu serious inakera sana
Unachati na mwanaume mwenzako anakuandikia maneno kama vile tyu,poyee ,thijui ,huhuhuh
Nakereka kichizi na hapo hapo nakupotezea kabisa
Ingekuwa kuandika hivyo ni ushoga basi hata wewe usingeandika.Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,
Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia
1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana
2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi
3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga
4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada
5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa
6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza
7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine
8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza
9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo
10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga
11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo
Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
nitakufira wewe boyaIngekuwa kuandika hivyo ni ushoga basi hata wewe usingeandika.