Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
Uyo ni chokoMwanaume kuvaa kaptura mapaja nje
Uyo ni chokoMwanaume kuvaa kaptura mapaja nje
Mtu akini txt mambo my. Ata mood inakataInashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,
Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia
1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana
2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi
3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga
4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada
5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa
6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza
7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine
8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza
9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo
10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga
11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo
Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
Namshangaa kwani tulikuwa na bosi wetu Canadian akiandika email kwa staff wa kike na Kiume alikuwa akianza na "Hi colleagues" Sasa mleta mada inaonyesha amekariri alivyojifunza chekecheaWasomi tunatumia maneno yoyote tunayojua maana yake si kwa kukariri, yaani wewe unaonekana hujui hata maana ya "Hi" na hayo maneno mengine yote so umebaki kuwa governed na emotions na sio akili so huo ni uchoko
Sasa Paprika nimeingia gym miaka na miaka nimefanya mguu uwe na teardrop shape kwenye paja, calves zimeenda shule cutting kwa pembeni. Kwanini nisivae pensi ili ujionee?Wananikera haooo!
Vaa pensi na sio vikaptura vya kuacha mapaja njeSasa Paprika nimeingia gym miaka na miaka nimefanya mguu uwe na teardrop shape kwenye paja, calves zimeenda shule cutting kwa pembeni. Kwanini nisivae pensi ili ujionee?
Mtanisamehe....na narudi tena gym
Hao wasanii ndo wanaongoza kwa UPUNGA.*Namba 2 ya kutoa Hi ni kizungu sio ushoga.(mfano mwanaume mwenzio kakwambia Hi/Hello tunajibu vipi mkuu)
*Namba 9 kuvaa cheni na vipuri ni swaggz si unawaona wasanii wetu wa bongofleva, bongo movie na wasanii wa kimataifa. Chidi benz na diamond ndo walienda mbele zaidi wakatoboa mpaka pua
Acha ulofa wewewacheni kufuatilia maisha ya watu fanyeni kazi,,mtu humlishi ,,huishi nae,,,huna haja nae,,,jhaya yote ni mazoea ya kuchunguzana,,,its none of ya busness,,,tafuta kazi za kufanya kukaaa free kunamatatizo mengi,,,,lea familia yako kwa misingi unayoona inakufaaa kwako na jamii yako
vipi?Namba sita (6) mmmmmmmh!