Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Ila wa mkoa mnajishtukia sana. Hata kula wali ni mamboya ki............................! Kike.
 
1: Mwanaume kusuka,kufuga nywele ka mwanamke vile
2: Mwanaume mzima tena ana mtotoa au watoto anajirecord akiwa anaramba ramba midomo anajisexisha yani ptyuuuuuuuuu
 
b8a93ab5081d950d954a54bd8d0fe23b.jpg
 
Na mimi naweka msisitizo kwa herufi kubwa.

HIZO NI DALILI ZA UPUNGA, ACHA MARA MOJA
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
Mwanaume kuweka dawa ya aina yoyote kichwani .......hiyo ni kuelekea ukike...!!
 
mwanaume anayetembea barabarani huku amemshika mwenzie wa kiume mkono.
13.Mwanaume ambaye anambusu mwenzie akiwa anamuaga tena kwa mkono ukiwa mdomoni eti mwaaaaaaaaaah.
14.Mwanaume ambaye anapenda kuigiza kuongea kama wanawake.
15.Mwanaume ambaye anavaa suruali za kubana sana miguu.
16.Mwanaume ambaye anasuka nywele twende kilioni.
17.Mwanaume ambaye anapenda sana kusikiliza taarabu za mipasho na kuimba.
18.Mwanaume ambaye akiwa na mkewe au GF wake yeye ana tabia za kususa susa tu mara asusie chakula,mara asusie ku do...
19.Mwanaume ambaye hupenda kupulizia pafyumu kali sana na nyingi zimetengenezwa mahsusi kwa ajili ya dada zetu.
20.Mwanaume ambaye yeye ni mmbea na mpenda shari na watoto wa kike.

Yaani watu wa aina hii wakiwa katikati ya kundi la wababe kama akina scorpion tena usiku au wakipelekwa jela heeeeeeeeeeeeeee wana hatari ya kugeuzwa wapishi wa zamu na vipozeo vya wasela
dah hiyo ya kuvaa suruali za kubana, kuna siku nilidhani ni mdada maana alikuwa anaenda yaani nilikuwa nyuma yake hadi nilipogeuka ndo nikajua ni kidume nilisononeka sana.... kifupi mitindo mipya ya nguo inachamgia sana hali hii, nadhani serikali ingezuia haya mavazi vijana wanakuwa kama wadada shit!
 
Back
Top Bottom