cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
pesa sabuni ya roho!
pesa ni maua!
nani kasema pesa haiwezi kununua furaha!
mwenye pesa si mwenzio,
mwanaume mwenye pesa hata awe vipi warembo watamfanya ajisikie kama mfalme!
mwanaume mwenye pesa zake atajipatia wanawake wenye uzuri na urembo wa kila namna na kila rika!
eti kina dada kwa nini kupenda pesa kunatufanya tuwe zaidi ya vipofu maana kipofu haoni lkn anahisi!
kina dada tuache kuwa na mioyo yenye kudhamini fedha na mali tu kwani hata sisi tuna uwezo wakujitafutia fedha zetu bila kutegemea mabuzi!!
mwanaume ni - - - - - - -!!!