Escardo-bird
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 622
- 220
Kama pesa inanunua furaha basi hakuna watu wangekuwa na furaha hapa duniani kama wale wacheza sinema wa Hollywood lakini wengi wao maisha yao ni very miserable kuliko hata wale wasio na pochi ya kutisha.
Tru dat, money cant buy happiness but poverty cant bring u happiness either.:sly::sly: