Believe me you People change... Hata hivo Boss mwanadamu inabidi atambue sio kila tutakalo inatakiwa upate... Ndio maana ndoa nyingi za saizi yaonekana material things kwanza mapenzi badae... Huwa nashangaa hi kauli sababu zamani walikua wanaoana kwa mitindo ya ajabu... mara kumkimbiza binti... mara forced marriages... mara arranged marriages... na mostly zilidumu saana.
Back to Topic... We ni mwanaume umefall in Love na mwanamke alikua the so called malaya... LAZIMA ujiulize maswali yafuatayo ili kuweza toa maamuzi ya mwisho....
- Ulimkuta bado malaya?? Kwamba bado alikua anachanganya saana wanaume??
- Alikua malaya wa aina gani.. wa kujiuza?? Ama wale tu wakuchanganya madesa??
- Tokana na elimu yake... labda anakotokea.. umalaya alikua anafanya kwa ajili ya sababu za Msingi??
Usipojiuliza haya maswali then wee kama Mwanaume unapunguza vigezo vya kujulikana kama mwanaume... A true man as much as He LOVEs atajiululiza how huyo dada ata cope... kama she will be a good wife... kama wataweza jenga familia yenye mapenzi. Yoote haya hatuwezi jua wala ku predict but at least kuna some pro-actions za kuchukua.... For at the end of the day Marriages are not about love pekee... it is beyond that...