Mwanaume ni yupi hapa??

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....

baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...

na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima

kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....

sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....

1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....

2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'

sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????

yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa

ingawa jamii inafurahia....?????????
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Wa kwanza...

Huyo mwanaume akumbuke kua haishi in isolation. Kuoa mwanamke ambae ni the so called malaya ni mara nyingi hutokea katika Jammii. But kumbuka kua maisha ya ndoa yanahusisha nyie wanandoa kuishi kwa amani na hadi wale wanaowazunguka muishi nao kwa amani. Boss kwa Mantik hio kama kweli unajua mkeo alikua ni the so called Malaya kubali kua inabidi muhame na mkae makazi ya mbali kabisa... For siamini kabisa kua kuna mwanaume ambae atapenda aonane kila siku zaidi ya wanaume labda wa 4 walowahi lala na Mkeo... Sidhani kwa kweli....

Wa Pili....

Mapenzi ni mchezo wa ajabu saana. Boss mtu kuwa na vigezo vyoote haina maana ndio utampenda... sijui hii nyama ya moyo imeumbwa vipi na roho nayo sijui hutumia vigezo gani kutuongoza katika suala zima la kupenda. Maana ingekua hivo hawa kaka/dada zetu ambao mara nyingi hutoka basi wasingekua wanatoka; maana from observation unaona mtu ana mwenza ana vigezo vyoote but bado hatoka....

Uwanaume;

Nakubaliana kua mara nyingi kuonekana kua a Man is indeed a Man tokana na maamuzi yake... matendo yake.... na attitude yake hasa katika life na yalomzunguka... The above woote waweza onekana wanaume wa kweli; i.e Wa kwanza awe mtu mwenye heshima zake... kaweza mdhibiti the wife kiasi kwamba jammii yoote inaona kabisa the Change in the woman na kotovumilia upuzi wowote ambao Mkewe atafanya in relation na kunukia kwa a new species... hasa tokana na reputation... such a wife atakiwi a-entertain opposite sex kua nae karibu for jamii lazima imzushie... AU akaonekana sio mwanaume kwa kushindwa Mdhibiti.... Wa pili waweza oa Mwanamke mwenye vigezo vyoote but still ushindwe onesha uanaume wako... tena Boss in this case si ndo cheating kwa saana?? na nyie wanaume si ndo mnapenda define kwamba huo ndo uanaume (sijui nani alikuja na hii reasoning but thankfully ina change)
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,954
287,540
but wengi wanachagua heshima kuliko kipenda roho....

Kwani unaoa ili uiridhishe jamii BOSS? Ukiamua hivyo basi ndoa inaweza isiwe na maisha marefu maana huyo anayeiridhisha jamii huna mapenzi naye ya kweli.
 
umezungumza kuhusu kuweza kumdhibiti.....hapo sasa...
mjaa asili haachi asili......mtu mzima kubadilika moja kwa moja ni ngumu.element inabaki tu...
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
umezungumza kuhusu kuweza kumdhibiti.....hapo sasa...
mjaa asili haachi asili......mtu mzima kubadilika moja kwa moja ni ngumu.element inabaki tu...

Believe me you People change... Hata hivo Boss mwanadamu inabidi atambue sio kila tutakalo inatakiwa upate... Ndio maana ndoa nyingi za saizi yaonekana material things kwanza mapenzi badae... Huwa nashangaa hi kauli sababu zamani walikua wanaoana kwa mitindo ya ajabu... mara kumkimbiza binti... mara forced marriages... mara arranged marriages... na mostly zilidumu saana.

Back to Topic... We ni mwanaume umefall in Love na mwanamke alikua the so called malaya... LAZIMA ujiulize maswali yafuatayo ili kuweza toa maamuzi ya mwisho....

  1. Ulimkuta bado malaya?? Kwamba bado alikua anachanganya saana wanaume??
  2. Alikua malaya wa aina gani.. wa kujiuza?? Ama wale tu wakuchanganya madesa??
  3. Tokana na elimu yake... labda anakotokea.. umalaya alikua anafanya kwa ajili ya sababu za Msingi??
Usipojiuliza haya maswali then wee kama Mwanaume unapunguza vigezo vya kujulikana kama mwanaume... A true man as much as He LOVEs atajiululiza how huyo dada ata cope... kama she will be a good wife... kama wataweza jenga familia yenye mapenzi. Yoote haya hatuwezi jua wala ku predict but at least kuna some pro-actions za kuchukua.... For at the end of the day Marriages are not about love pekee... it is beyond that...
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
Kwani unaoa ili uiridhishe jamii BOSS? Ukiamua hivyo basi ndoa inaweza isiwe na maisha marefu maana huyo anayeiridhisha jamii huna mapenzi naye ya kweli.

true,na wataalamu wana sema hiyo ni moja ya kuwepo kwa talaka nyingi sana
watu wanaridhisha jamii kuliko mioyo.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
Believe me you People change... Hata hivo Boss mwanadamu inabidi atambue sio kila tutakalo inatakiwa upate... Ndio maana ndoa nyingi za saizi yaonekana material things kwanza mapenzi badae... Huwa nashangaa hi kauli sababu zamani walikua wanaoana kwa mitindo ya ajabu... mara kumkimbiza binti... mara forced marriages... mara arranged marriages... na mostly zilidumu saana.

Back to Topic... We ni mwanaume umefall in Love na mwanamke alikua the so called malaya... LAZIMA ujiulize maswali yafuatayo ili kuweza toa maamuzi ya mwisho....

  1. Ulimkuta bado malaya?? Kwamba bado alikua anachanganya saana wanaume??
  2. Alikua malaya wa aina gani.. wa kujiuza?? Ama wale tu wakuchanganya madesa??
  3. Tokana na elimu yake... labda anakotokea.. umalaya alikua anafanya kwa ajili ya sababu za Msingi??
Usipojiuliza haya maswali then wee kama Mwanaume unapunguza vigezo vya kujulikana kama mwanaume... A true man as much as He LOVEs atajiululiza how huyo dada ata cope... kama she will be a good wife... kama wataweza jenga familia yenye mapenzi. Yoote haya hatuwezi jua wala ku predict but at least kuna some pro-actions za kuchukua.... For at the end of the day Marriages are not about love pekee... it is beyond that...

maswali hayo sio kila mtu hujiuliza..
mostly watu huangalia vitu viwili...

1..good sex

2.good chemistry...urafiki na kuelewana.....

hapo sasa ni uamuzi wa kijinga,? wengi hawatazammi future.....
ni kuwa anafaa leo,namuoa......full stop.....matumaini kuwa atafaa kwa kila kitu
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
kila nikijaribu kuweka photo za Madonna na Guy Ritchie

na Wema na Diamond zinagoma...mwenye kuweza aweke naona zinaendana na thread...
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
Kwani unaoa ili uiridhishe jamii BOSS? Ukiamua hivyo basi ndoa inaweza isiwe na maisha marefu maana huyo anayeiridhisha jamii huna mapenzi naye ya kweli.

BAK...usisahau pia ni sifa ya kiume kujinyima na sio kuendekeza 'kila kinachotaka moyo'...
sometimes mwanaume huonekana mwanaume kwa kukubali kukikosa 'anachokipenda'kwa faida ya wengine....
sasa hapa je??????
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,542
728,445
yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa

ingawa jamii inafurahia....?????????

hata huyo unayemwona malaya leo Mwenyezi Mungu aweza kumrekebisha...............................tusifanye maamuzi kulingana na shuruti ya jamii.

jamii siyo itakayeishi naye................follow your heart and the rest will piece themselves together..........................why live and waste it all in pleasing others........................time has come to please your own conscience...................
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
hata huyo unayemwona malaya leo Mwenyezi Mungu aweza kumrekebisha...............................tusifanye maamuzi kulingana na shuruti ya jamii.

jamii siyo itakayeishi naye................follow your heart and the rest will piece themselves together..........................why live and waste it all in pleasing others........................time has come to please your own conscience...................

je na wale ambao wanajinyima 'kuoa wnaowapenda'na wao si wamechukua maamuzi magumu ya kiume pia?????
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
hahaha,the boss! family banaa ni kitu cha muhimu. siku niliona hiyo engagement ya wema na diamond nilimuwaza mamake diamond haraka sana! madonna na huy ritchie nao nilipoona ndoa yao nilianza kuhesabu siku hadi kalenda ikaisha tukafungia mihogo.aah,dunia hii!
mi naona both ar nt men enough! moyo wako the boss tukiuliza umeshawahi kudondokea wangapi na kudondokewa (with that denzel look,lol) list haitaenea hapa!mwanaume ange-move on na kutafuta mtu mwingine na nina hakika moyo ungefuata tu. family comes first no matter what kwa sababu unaihitaji familia yako bana,wakati wote! coz wanasema mchuma janga hula na wa kwao! usipowasikiliza,yakianza kubuma u need family uiambie 'nakufa'. nikuulize the boss, unamjua wema sepetu alivyo physically (bt those engagement kisses were yaks,oops!), bt could u marry her?
 
KINGA'STI naona umenielewa kupita maelezo...
kuhusu Wema,mimi ni mmoja ambao 'nilikuwa in love with her since day one'..na katika mamiss tz wote
Wema ndie alienivutia kuliko wote phisically.....but je naweza kumuoa Wema????

HAPANA........

now does that make me a coward??????lol umeona ehhh? je namuona vipi Diamond?namuona jasiri na sio *****
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
hivi 'kupenda' na kutamani vina sehemu gani kwenye hizi situations 2? nadhani kwenye hizo analysis za mwanamke malaya alizotoa ashadii, hiyo ya 3 ni ya muhimu sana. ni kwa nini alikua malaya? ww the boss, im sure umepitia ugumu na desperate situations where u wanted money. bt dd u resort to robbing? hata kama alikua desperate kupata hela ya chakula na malazi, a decent woman at heart angelala na wanaume 5 akapata mtaji wa kupika maandazi kama sio nauli ya kurudi kijijini kwa bibi yake!
BAK...usisahau pia ni sifa ya kiume kujinyima na sio kuendekeza 'kila kinachotaka moyo'...
sometimes mwanaume huonekana mwanaume kwa kukubali kukikosa 'anachokipenda'kwa faida ya wengine....
sasa hapa je??????
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
hivi 'kupenda' na kutamani vina sehemu gani kwenye hizi situations 2? nadhani kwenye hizo analysis za mwanamke malaya alizotoa ashadii, hiyo ya 3 ni ya muhimu sana. ni kwa nini alikua malaya? ww the boss, im sure umepitia ugumu na desperate situations where u wanted money. bt dd u resort to robbing? hata kama alikua desperate kupata hela ya chakula na malazi, a decent woman at heart angelala na wanaume 5 akapata mtaji wa kupika maandazi kama sio nauli ya kurudi kijijini kwa bibi yake!

what if alifanya 'umalaya' sio kwa shida...
aliiga tu au kufuata mkumbo,au just to have fun...hapa sizungumzii 'biashara ya kujiuza'
umalaya as just to sleep around...a lot...
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
that makes u 'the man'! kwanza wakati utakua roho juu kila wakati, u cant trust ur woman, kuna maisha hapo? ukiona kaenda mahali kila saa simu ( afu nipe na mama/dada nimsalimie, as if huna namba zao!!). mwanaume wa kweli anaenda beyond tamaa za mwili. i can bet u, sexy and appealing as she is, hata ukipata chance ya one night stand na wema utakimbia wewe! i wouldnt marry a man ambae familia yangu does not approve of with a good reason. coz i know,when all is gone:money,fame,health,love, family is what will always be there for me!

KINGA'STI naona umenielewa kupita maelezo...
kuhusu Wema,mimi ni mmoja ambao 'nilikuwa in love with her since day one'..na katika mamiss tz wote
Wema ndie alienivutia kuliko wote phisically.....but je naweza kumuoa Wema????

HAPANA........

now does that make me a coward??????lol umeona ehhh?
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,799
that makes u 'the man'! kwanza wakati utakua roho juu kila wakati, u cant trust ur woman, kuna maisha hapo? ukiona kaenda mahali kila saa simu ( afu nipe na mama/dada nimsalimie, as if huna namba zao!!). mwanaume wa kweli anaenda beyond tamaa za mwili. i can bet u, sexy and appealing as she is, hata ukipata chance ya one night stand na wema utakimbia wewe! i wouldnt marry a man ambae familia yangu does not approve of with a good reason. coz i know,when all is gone:money,fame,health,love, family is what will always be there for me!

so far nimeona hiyo sentesi ya mwanzo tu...THAT MAKES ME THE MAN....nasoma between the line tu lol
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
well,we ar here talking of maturity kama itachukua nafasi. lakini kama ni mtu wa mikumbo sasa, na mke wa rafikio pamoja na usomi anaendesha fotuner (nyeusi,lol). akipewa lift kenda kwenye kparty ama kanisani akaona uhondo wake. hajashawishika tena? i believe in 2nd chances,trust me i do. lakini kwa suala la umalaya, nahitaji kushawishiwa haswaa,manake kuweka roho juu ya mti sioni kama ni busara. life is short man!
what if alifanya 'umalaya' sio kwa shida...
aliiga tu au kufuata mkumbo,au just to have fun...hapa sizungumzii 'biashara ya kujiuza'
umalaya as just to sleep around...a lot...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

15 Reactions
Reply
Top Bottom