lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Wakubwa zangu shikamooni!
Peopleeeeeeees!
Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!
1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!
2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!
3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!
4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!
5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!
6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!
7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!
8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!
9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!
10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!
Wewe wapenda nini?