Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Wakubwa zangu shikamooni!

Peopleeeeeeees!

Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!

1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!

2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!

3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!

4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!

5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!

6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!

7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!

8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!

9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!

10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!

Wewe wapenda nini?
 
Wanaume wasio na pesa ni wakukimbiwa.yaani sometimes I wonder wanawake wenye Wanaume wasio na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.poor men is not attractive.Dead beat men need to stop dating very Hard looking
 
Wanaume wasio na pesa ni wakukimbiwa.yaani sometimes I wonder wanawake wenye Wanaume wazoo na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.poor men is not attractive.Dead beat men need to stop dating

Wanawake wasio na pesa ni wakukimbiwa.
Yaani sometimes I wonder wanaume wenye wanawake wasio na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.
Poor women is not attractive, dead beat women need to stop dating.
 
Mwanaume pesaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huna pesa kaa pembeni
 
mwanamke ni big booty nice boobs apart from that we ni wamazoezi tu...

Asipokuwa na sifa hizo Ataishia kudunguliwa kama embe mtini,
kukatiwa vipandepande kwenye maplastic kama nanasi
na kutafunwa vizuri mpaka aishe utamu kama Big G mdomoni.
 
Hahahaaa, lara 1 utasababisha wengi waote ndoto za abunuasi, sufuria kuzaa na kufa!
 
mwanaume kuwa na pesa nisifa moja,je hizi mbili zilizobaki hamna shida nazo? Msilalamike msiporidhishwa na huduma za kitandani.,pia msitoke nje kufuata huduma nzuri..a.k.a kukunwa mpaka kumtimaa!
 
Wanaume wasio na pesa ni wakukimbiwa.yaani sometimes I wonder wanawake wenye Wanaume wasio na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.poor men is not attractive.Dead beat men need to stop dating very Hard looking

Embe linalonukia na kuvutia machoni mara nyingi huwa na wadudu!
 
asikudanganye m2,pesa ni mpango mzima, hata ukiwa na ngoma wapo watakaojitoa muhanga ili mradi wa-make!
 
Back
Top Bottom