dah, yaani wachangia mada wote wamegusia hili la sex mara 15, lakini kuna la kupidisha sarafu kwa kuikandamiza jichoni sijui hili sio la ajabu kama nionavyo mimi au ndo kusema JF:Ngono kwanza.
8. Na hajawahi kulala usingizi toka azaliwe
eh ni binadamu kweli huyu??
kwani vipi my dear?humuogopi wee??
Hadithi ndhiriii kakufundisha nani?:laugh: :laugh: :laugh:
hehehehehe kwangu si mpya hii lakini kila nikimuona huyu babu subhanallah na mtangazaji wa kiume alipat hehehehe lol......kila saa amuliza hivi kweli we sex mara 15 kwa siku... na wapata kweli muda...... heheheheh yaonyesha hiyo ilimgusa kweli kweli... shukran abuy allah kareem..
looh haya ni maajabu ya dunia anafaa kuwekwa kwenye kwenye kumbukumbu za dunia:coffee: