Mwanaume mwenye nguvu za ajabu

dah, yaani wachangia mada wote wamegusia hili la sex mara 15, lakini kuna la kupidisha sarafu kwa kuikandamiza jichoni sijui hili sio la ajabu kama nionavyo mimi au ndo kusema JF:Ngono kwanza.
 
Nchi zenye wanawake wengi kama ya kwetu inabidi zipate watu wengi kama hawa ili kupunguza nyumba ndogo....
yani hapo ni kupokezana tu mpaka kunakucha...kama mpo lindoni vile
 
Hao wanawake ni kiboko maana sipati picha jamaa anapokuwa kazini inakuaje hasa pale mechi inapokuwa imekolea
 
looh haya ni maajabu ya dunia anafaa kuwekwa kwenye kwenye kumbukumbu za dunia:coffee:
 
dah, yaani wachangia mada wote wamegusia hili la sex mara 15, lakini kuna la kupidisha sarafu kwa kuikandamiza jichoni sijui hili sio la ajabu kama nionavyo mimi au ndo kusema JF:Ngono kwanza.

Nafikiri ukiingia kwenye hili jukwaa mawazo yote yanakuwa upande huo zaidi. Mi bado nafikiria akichelewa nyumbani kwake akagonga mlango kwa kidole, mlango si unavunjika? Au akienda kwenye ATM zetu zinazosumbua kutoa hela, anaweza akakasirika alafu akaivunja mashine na kutoa hela anazotaka kwa mikono
 
Hadithi ndhiriii kakufundisha nani?:laugh: :laugh: :laugh:
 
hehehehehe kwangu si mpya hii lakini kila nikimuona huyu babu subhanallah na mtangazaji wa kiume alipat hehehehe lol......kila saa amuliza hivi kweli we sex mara 15 kwa siku... na wapata kweli muda...... heheheheh yaonyesha hiyo ilimgusa kweli kweli... shukran abuy allah kareem..

Haaahaaa! Huyu baba aje Tanzania kutoa misaada ya waliozidiwa hata na mke mmoja maana idadi yao inaongezeka. Watu wanakuwa wanywaji ili wasiende kuulizwa ile kitu inakuwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom