Mwanaume mtaalamu jikoni

kamon liz
s.e.x ni biology
kama kiumbe hai yeyote we need it
soona fter adolescence
tunajizuia sababu ya lifestyle
kuzaa nje ya ndoa is unacceptable
kwa mazingira yetu
japo inawezekana
Unacceptable by whom?
Kama mimi naona ni poa, familia yangu inaona ni poa, na marafiki zangu wanaona ni poa, huyo wa kuniaminisha kwamba ni unacceptable ni nani?
 
Not to forget ni ajira pia, Si unampata Jamie Oliver (dume flani) "The naked chef" mzembe anakusanya hela mbaya sana samtaim anapata mwaliko wa kumpikia mpaka queen.

Eti tuwapoteze kina chef Ramsey na Jamie wakati wengine ndo tunapopatia insiparation.
 
Nimetoka kukorofisha kiti moto na sasa hivi najichana hapa na lemonade yangu bariiiidi iko pembeni.

Binafsi sina tatizo kabisa na kupika na uanaume wangu hauwi defined na kupika au kufanya kazi zingine za ndani ya nyumba, iwe nina mke au la!
Kisa cha kutamanisha wengine aiseee?

@Badili Tabia, asante mwaya.
 
"...Nakuona umechoka sana leo, basi kaoge tu upumzike wakati nakorofisha msosi huku jikoni, nikimaliza nami nitaenda kuoga halafu tuje tujichane." Kwa wengine hili si jambo la ajabu kabisa.
Hahahahaha.BAK bana. . . .chukua tano umgawie Vin D nusu.Kupika ndio mpango mzima, acha wanaoponda na waendelee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lizzy,

Believe it or not hakuna mwanaume *****. Ni watu wanajidanganya tu. Bottom line, huyo mwanaume anayeonekana ***** ana mambo ya ajabu ambayo mkewe akisikia anaweza kufa na pressure. Mbele ya mkewe anakuwa *****. Ndio maana hawa wanaume wanapofariki, kunakwua na mambo ya ajabu sana. mwanume aliyekuwa anaonekana ***** na mwanamke kujisifia amemtawala, ustangaa siku ya msiba wake watoto wa mitaani wanavyoletwa, na ukiangalia ni photocpy...

Hakuna mwanaume ***** hata mmoja.....
Hahahahaha, kwahiyo hua wanalipizia kwingine?

@Chipukizi, huo sasa ndio uanaume.Kama huna wasiwasi na uanaume wako huzi ogopa kuingia jikoni eti utaonekana hujakamilika.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Miimi huwa napika sana tu............. nakumbuka hata nilipokwenda ukweni kwa mara ya kwanza niliingia jikoni kupika, mama mkwe akamfokea mke wangu sana kwa kuniacha nipike, lakini nikafanikiwa kumtuliza na maisha yakaendelea......
 
pumba hizi, wapishi maarufu wote duniani ni wanaume na watu wengi wanakonsider mwansume anayeweza kupika sexy sana.
 
mila zinatuharibu,mi kupika sijui na ni mvivu but sioni tatizo kwa wenzangu wanaojua na wenye kupenda kupika kufanya hivyo...ukiangalia hata the best chefs in the world are men
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi mume wangu anapenda kula, huwa nikiwa jikoni hachewzi mbali na mimi na huwa ananisaidia mengi tu,,,,
 
Not to forget ni ajira pia, Si unampata Jamie Oliver (dume flani) "The naked chef" mzembe anakusanya hela mbaya sana samtaim anapata mwaliko wa kumpikia mpaka queen.

....aaaaahhhhh, kamanda huko mbona umeenda mbali bana,
hujawahi kula mahanjumati ya mzee Ali Mapilau nini wewe?

m3.jpg
 
mila zinatuharibu,mi kupika sijui na ni mvivu but sioni tatizo kwa wenzangu wanaojua na wenye kupenda kupika kufanya hivyo...ukiangalia hata the best chefs in the world are men
That's more like it.....
 
....aaaaahhhhh, kamanda huko mbona umeenda mbali bana,
hujawahi kula mahanjumati ya mzee Ali Mapilau nini wewe?

m3.jpg
Hahahaa, sasa hapo sinia likiletwa si kuna watu watapigwa vikumbo aisee?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Uanaume wa mtu hauna husiano wowote na kupika. Kama uanaume wa mtu ungekuwa unapunguzwa kwa kupika tusingekuwa na ma-chef wanaume kabisa.

Mwanamme kutopika imetokana na utamaduni wetu wa zamani kwamba mama zetu walikuwa hawafanyi kazi kwhaio walikuwa wanafanya kazi zote za ndani.

Mda umekwenda na maisha yamebadilika sasa; wakina mama nao wanafanya kazi nao na sio familia zote zinaweza kuwalipa wafanyakazi wa ndani.

Kwahio hakuna tatizo kama mwanaume kawahi kurudi nyumbani kabla mke
wake akaingia jikoni kutayarisha chakula. Mke akirudi nyumbani mnakula na mnakuwa mmeokoa mda ambao mngepoteza kumsubiri mama wa nyumba apike. Hapo mnakuwa mmepata mda mwingi wakutumia pamoja kujenga mapenzi yenu.

Kwahio Dada Lizzy mie sioni tatizo kuingia jikoni kabisa. Kama mke hafanyi kazi hilo mtu unaelewa lakini maisha ya sasa wote tunafanya kazi na ni vizuri kujaribu kugawana kazi za nyumbani kama hakuna mfanyakazi hili tupate mda mwingi wa kupumzika pamoja na kujenga uhusiano wetu.
 
basi tusishangae hata vasco dagama wetu kwenda trip ambazo angemwachia hata katibi tarafa akazifanya na yeye kubaki na kufanya mambo mengine ya msingi

mgawanyo wa kazi upo tu katika taasisi mbali mbali na familia ikiwemo

afadhali hata kwa ambaye hajaoa kupika lakini aliyeoa sijui binti zake wako sebuleni na mama yao wamekunja miguu baba yuko jikoni anachochea kuni huo ni up**zi

wanaopika kama njia ya kujipatia hela is a different case.
 
wanaopika kama njia ya kujipatia hela is a different case.
Hayo ya huyo VD wako yabaki kama yalivyo, huwezi linganisha mtu anaekimbia majukumu yake kwaajili ya hobby na mtu anaefanya zaidi kwaajili ya famili yake bila kujali maneno ya watu.

Nwy huo utofauti ndio upi vile?
Wao wanapopikia sio jikoni?Au imperfections zao zinakubalika?
 
km jiko lenyewe ni la kuni au mkaa ,kupika inakuwa ni soo.....ila thnks kwa teknolojia ,mwanaume kupika saiv ni rahisi kidogo.
 
Ndo yale yale baba apike badala ya kukaliaa majukumu yake ya kibaba
ana tofauti gani na vasco dagama?

Tofauti ya huyu na wenzie ni kuwa ame-vercome fear ya kushindwa kazi za kiume na kujikita katika kazi ya kike na kuweza endesha maisha yake legally

ndo mana hata watu wenye mahusiano za jinsia moja walioweza toka kwenye jamii na na kikiri tunawaheshimu kwa hilo
lakini yote hii haiondoi maswali ya kwanini uvutiwe na jinsia moja coz its easy to fall kwa jinsia nyingine

Hayo ya huyo VD wako yabaki kama yalivyo, huwezi linganisha mtu anaekimbia majukumu yake kwaajili ya hobby na mtu anaefanya zaidi kwaajili ya famili yake bila kujali maneno ya watu.

Nwy huo utofauti ndio upi vile?
Wao wanapopikia sio jikoni?Au imperfections zao zinakubalika?
 
Tatizo kubwa kwenye jamii yetu tunachanganya mwanaume kama anapika kwa mapenzi yake mwenyewe ya upishi au kusaidia kidogo nyumbani sio tatizo ila kama analazimishwa kama ni jukumu lake kupika kidogo ndio naona tatizo.

Upishi ni hobby kama nyingine tu.
 
Kumbe reference point yako ni mijini
more than 80% ya watanzania wanaishi kijijini

mie reference point yangu ni Tanzania

eti baba anaenda chota maji kisimani, chochea kuni, bandika maharage, subiri hadi yaive, pepeta mchele, pembua, pika wali

duh, binti na mama yao wako wamekaa, siielewi.

km jiko lenyewe ni la kuni au mkaa ,kupika inakuwa ni soo.....ila thnks kwa teknolojia ,mwanaume kupika saiv ni rahisi kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom