Infiniteposibilities
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 314
- 290
Hebu tuambie kwa nini tukimbie? Mimi nimeshaitwa sana Boss na wadada lakini sijaona hatari yoyote.Hapo umeelekezwa kibra.
Ni tumsalie sala ya mwisho tu.
Uzi tayari.
Hebu tuambie kwa nini tukimbie? Mimi nimeshaitwa sana Boss na wadada lakini sijaona hatari yoyote.Hapo umeelekezwa kibra.
Ni tumsalie sala ya mwisho tu.
Uzi tayari.
kwasababu najitambua!.Kwann lakini? 😂😂😂😂
humu kijiweni mkuu anataka niandike kama naomba ufadhili usaid ?hajui matumizi ya alama za uandishi hivyo msamehe bure!.
Hata sisi hufanya makosa sana kwenye uandishi mfano mtu akiandika hivi "watu nane!" badala ya "watu wanane" hii ndo sahihi na mwengine anaweza kuandika "watu wa nane!" hii pia si sahihi!.
lugha inahitaji uelewa na ndio maana hata uwe nguli vipi kwenye lugha kukosea ni lazima!.
Mwambie hivi wanaume hatuiti mwanamke (mdada)... Mens lugha zetu ni manzi,mbususu,dem,churahajui matumizi ya alama za uandishi hivyo msamehe bure!.
Hata sisi hufanya makosa sana kwenye uandishi mfano mtu akiandika hivi "watu nane!" badala ya "watu wanane" hii ndo sahihi na mwengine anaweza kuandika "watu wa nane!" hii pia si sahihi!.
lugha inahitaji uelewa na ndio maana hata uwe nguli vipi kwenye lugha kukosea ni lazima!.
sometimes it helps!.humu kijiweni mkuu anataka niandike kama naomba ufadhili usaid ?
mwambie nawewe...🤣Mwambie hivi wanaume hatuiti mwanamke (mdada)... Mens lugha zetu ni manzi,mbususu,dem,chura
Alafu jikaze wakiume wewe... Hzo (mdada) (mkaka) waachie dada zako jikoniNdo hivo mkuu
Ngoja nimuwahi kabla hajapotezwa mombasamwambie nawewe...🤣
Sawa boss umeelewekaHapo umeelekezwa kibra.
Ni tumsalie sala ya mwisho tu.
Uzi tayari.
Safi sanasawa mkuu nimeshawachia
Ndege iliyokuwa ikiruka juu ya mlima ilikuwa na rangi ya bluu lakini si samawati, na ilikuwa ikiimba wimbo kuhusu chungwa lililopotea ambalo liliamua kujificha kwenye kabati la nguo lililokuwa limejaa viatu vya zamani na kofia ya kuogelea. Lakini kumbuka, samaki hawana miguu wala mikono
Basi sawa.kwasababu najitambua!.
maneno uliyotumia yamenikumbusha kiumbe fulani kigeni kilikuwa kinawasema wageni wenzake kuwa hawa wazee wanatumia English ya zamani sana, halafu wanashindwa kutumia English yasasa (ya vijana wa sasa), hiyo siku ndo nilielewa hata wenye English wenyewe bado inawapa tabu...🤣Mbona unacheka sana mkuu KENZY