Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Hio ni hali ya wanaume tulio wengi, Hatuchukulii uzito kila jambo, hisia anazo sana ila kuziona ni mpaka umfumanie anapiga story na rafiki ake waneaminiana sana hapo utamnasa akikusifia sana. Kuzira anakuinyesha kuwa yeye ni mwanaume kamili hata kama utaamua kumkacha anasimama kama yeye, kwa kifupi ni kwamba maisha bila wewe bado yanaenda japo anakupenda sana.
 
hayo mawazo ya wanawake.. ungejua kwa nini wanaume wananunua malaya au kupiga nyeto ungeelewa... hela ndio kila kitu kwa mwanaume kamili.. mapenzi ni nyongeza tu...
Duh.. Mapenzi ni tofauti na ngono mkuu, nahisi inachanganya kama sio kuelewa
 
Habari za usiku , Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takriban miez 5 mpaka sasa lakni kitu kinachonikera ni mtu wa kuzila zila na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mm najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio MTU wa story yaani anaweza mkakaa hapo kimya mpaka uanze ww kuongea .na wakati mwingine simu anaweza akakaa siku nzma asipige au akipiga anaongea maneno mawil tu keshakata,na kitu kingine haniamini kabisa yaani haamini kama yuko peke yake ,kama labda umetoka utaskia ulikuw wapi au ulikuwa kwa bwanako nn yaani SAA zingine anaongea huku anacheka kana kwamba hanionei wivu.. naomba wenye experience na mapenzi hii ikoje hasa katk mahusiano ..
Hamna tatizo hapo
 
ngono ni mahitaji ya lazima kwa kila kiumbe hai kamili.... ila mapenzi sio lazima umpende ke au me... unaweza hata kumpenda mama yako au mwanao... ila ngono ni lazima
Ngono ipo kwa ajili ya kufanya PRODUCTION kwa viumbe hai( refer to REPRODUCTION topic) lakini Mapenzi ni sense of mind yaan Ubongo pamoja na Moyo. I know You know that UBONGO ndo Organ amuzi kuu pekee ya kuamua nn kifanyike so, Hitaji la Ubongo(Mapenzi) ni muhimu zaidi kuliko hitaji la mwili(ngono) ndo maana tunaumia zaidi tukiambiwa ''sikutaki'' kuliko kuambiwa ''sikupi nyapu'' coz not important at all
 
Habari za usiku , Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takriban miez 5 mpaka sasa lakni kitu kinachonikera ni mtu wa kuzila zila na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mm najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio MTU wa story yaani anaweza mkakaa hapo kimya mpaka uanze ww kuongea .na wakati mwingine simu anaweza akakaa siku nzma asipige au akipiga anaongea maneno mawil tu keshakata,na kitu kingine haniamini kabisa yaani haamini kama yuko peke yake ,kama labda umetoka utaskia ulikuw wapi au ulikuwa kwa bwanako nn yaani SAA zingine anaongea huku anacheka kana kwamba hanionei wivu.. naomba wenye experience na mapenzi hii ikoje hasa katk mahusiano ..
Hamia kwangu,asikupe stress (natania tu usije ukaja kweli,sina hata mia hapa nilipo)[emoji41] [emoji41]
 
hivyo tu sina kawaida ya kushika simu kutafuta namba yake na kumpigia na labda ubize unachangia. yeye ndio huwa ananipigia mara nyingi ila tunaongea sana tu
alaf pia mwanzo alikuwa akilalamika ila mpaka sasa ameshanizoea wala hapati shida.

kikubwa alicho gundua ni kuwa nampenda tu.

je wewe unataka kupendwa au kupigiwa simu.

Shukuru mungu tu kuwa unampa hela, mahutaji yake na pengine labda mpenzio sio mtu wa tamaa tamaa kama hawa ma slay queen wa jijini,, vinginevyo kwa hayo mapigo ungekuwa ushalizwa mapema sana!
 
Mleta mada usisahau kutuletea mrejesho hapa ili na wengine wafaidike,JF watu wengi wamekua wakiomba ushauri wa mambo mbalimbali ila ni wachache sana huleta mrejesho!

Mrejesho ni muhimu sana ili watu wengine wajifunze pia na kuepuka kuanzishwa kwa thd nyingi za kuuliza/kutafuta ushauri wa jambo lile lile kila mara.
Sawa
 
ina tegeme kama mm hapa huwa sinaga story kabisa huwa nakaaga kimya na kususa nasusa ila kwa kitu chenye maana na mambo mengi kama haya ni kwamba mnatakiwa muwe mnaendanaa na kujishusha sometime
Yeye kujishusha hawezi
 
Malezi ya kijinga tu aliopewa na wazazi wake ndio chanzo. Cha kufanya mchane tu mwambie aache utoto litakuwa li lastborne child bila shaka.
 
Back
Top Bottom