Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Hii tabia yakumpgia CMU mda wote mpz wangu nami inanikabili san hadi najiuliza

Ila nmegundua kjn akifikia 25+ kama nimsakajipesa nafasi ya mapenzi inapungua san

So chunguza yuko busy nakusak pesa au ajakupenda
 
Kwani kuna sehemu nimeongelea ngono ??/soma vizuri post zangu
kuna content yko inasema maisha bila mapenzi haiwrzekani !!?
ndio nikashangaa nakutka kujua kama unaelewa tofauti ya mapenzi na ngono ..nilitaka kujua kama unaijua tofauti hiyo kwa sababu nimewahi kuwafahamu watu waliowahi kuishi bila ya mapenzi "" so kama nawewe ungekuwa umewahi kuwaona ama kuwasikia naimani usingesema kuwa maisha bila mapnzi hayawezekani!!
labda ungesema maisha bila ngono hpo sawa kwakiasi kikubwa ninge ku saport '''
 
Mmmh kuna sababu kwann humpii simu labda
hivyo tu sina kawaida ya kushika simu kutafuta namba yake na kumpigia na labda ubize unachangia. yeye ndio huwa ananipigia mara nyingi ila tunaongea sana tu
alaf pia mwanzo alikuwa akilalamika ila mpaka sasa ameshanizoea wala hapati shida.

kikubwa alicho gundua ni kuwa nampenda tu.

je wewe unataka kupendwa au kupigiwa simu.
 
Back
Top Bottom