Huyo anaweza kuwa na moja kati ya haya
1. Ni wa mwisho kuzaliwa
2. Alianza mahusiano na wewe kupunguza stress za kuachana na mpz wake aliempenda ila anaona hufeet kwenye lile gap anatafuta njia ya kuacha
3. Hajakuzoe au hajiamini labda wew umemzidi status sasa anahic akipiga story anaweza kukosea.
4. Yeye yupo kwenye kundi la Frgematic, maana kundi hili huwa co wadau wa story.
5 anaweza kuwa na mambo yanamchanganya jaribu kuongea nae kwa upole kama yapo jaribu kimfarij. Atakuona wewe mi mhimu kwenye maisha yake.
Mwisho muombee mpz wako kwa bidii na imani kubwa maana shetan huwa hapendi kuona watu wanapendana na uwe mvumilivu, miezi 5 ni michache sana kukata tamaa.