hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,264
nimalizie bila kukusudia "" lkini chnzo kilichopelekea umauti kilikuwa ni ugomvi (so bado naitafuta amani uliyoisema )...mapenzi yanaleta amani huku nawewe umekuja huku kulalamika ..hahaaa hpo walalamika kisa tu Jamaa huwa ananuna..je siku ukipiga Simu yake akapokea demu nakuanza kukuchamba ?? TMJ patakuhusu mkuu....Malizia na bila kukusudia
then
kuna mtu moja alikuwa ni member wa jf humu alikuwa anaishi mbeya alijinyonga January ya mwaka huu .na akacha wosia kuwa amejinyonga baada ya mkewe kuwa msaliti "".unasemaje na hapo !!??