Mwanaume..."KUWADI"

Wewe una rafiki yako wa damu damu hajaoa sasa kila akikutembelea ofisini kwako anaona kabinti pale alafu jamaa amekazimia kweli kweli anataka kufika bei na kuweka ndani kawe kashemeji kako, sasa gia ya kuingia pale anashindwa anakuomba wewe kama rafiki yake umtengenezee njia ya kukutana na huyo binti sasa wewe hapo utakuwa umefanya kosa kumsababishia jamaa ako apate mchumba?
Hii yaitwa facilitation...:A S 41:
 
bht, pumua taratiibu, vuta pumzi, naona umekasirika kweli.
Heehehee nimekunywa na maji kabisa....

Kongosho ukisema wote watatu wana makosa mie naweza kukubali na kukataa maana inategemea....

Mfano wewe una mdogo wa kike, halafu unakomaa kumshawishi mtakatifu wa aiku za mwisho kuwa umuunganishe na hapo dogo hata habari hana...wewe interst zako kwa TF tu ndo zimekusukuma, hapo dogo naye ana makosa gani?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe hata sijaoa bado?

Dah, nimefikiri unamkuwadia gelofriend wangu moyo ukauma kweli

Sio gelofriend, boyifriend wangu kumbe.

Najua wewe huwez kabisa kukuwadi lol

Jamani Kongosho badala ya kuni defend siwezi kua kuwadi wadai utanivua baibui? Jamani.......
 
.....asalaale....usimtaje "mshenga" hadharani weye, unavunja miiko bana....lol...

Mwj1 mnh, .....huko kwao kafunzwa kumfanya mume ni "Baba mfalme wa nyumba!" ...atayejipendekeza kukuwadia ajue nitatajiwa "mshenga" "mtarajiwa" na waalikwa..
Na hiyo ndo dawa ya kuwadi...lol!kumuumbua tu Live bila chenga!
 
Unajua hapa inategemea na mtizamo wa mtu.

Mie hata iweje, kutafutiwa mwenza au kutafutia ndugu yangu mwenza
Siamini katika hilo, nahisi najua nachotaka, na ninataka nikitafute mwenyewe, nikijaribu na nijiridhishe
Ili kikinishinda, iwe juu yangu.

Heehehee nimekunywa na maji kabisa....

Kongosho ukisema wote watatu wana makosa mie naweza kukubali na kukataa maana inategemea....

Mfano wewe una mdogo wa kike, halafu unakomaa kumshawishi mtakatifu wa aiku za mwisho kuwa umuunganishe na hapo dogo hata habari hana...wewe interst zako kwa TF tu ndo zimekusukuma, hapo dogo naye ana makosa gani?
 
Mende0 aisee tunaenda sawaswa kwenye hii mada naona umeingia deep zaidi nimeipenda hii...Halafu naona Mbu kabadilisha ameamua kumuita Mshenga....lol

.....hahaha....hivi wewe TF hapo uambiwe na best wako," aisee 'nikuwadie' soulmate wa mbu" ....au, " uwe 'mshenga' wangu kwa soulmate wa mbu" ...lipi unaona linaheshima 'kidogo' kwako?...heheheh!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe hata sijaoa bado?

Dah, nimefikiri unamkuwadia gelofriend wangu moyo ukauma kweli

Sio gelofriend, boyifriend wangu kumbe.

Najua wewe huwez kabisa kukuwadi lol

Hapa tayari umekuwa SHE :glasses-nerdy:
 
mwanamme yoyote anaekuwadiwa huyo sio mwanamme,kwani hajiamini.na ataishia kutumiwa tu
 
Watu wasichanganye kuunganisha dots na ukuwadi,

Mfano, mie nafanya kazi na dada unayempenda (siyo mke au GF wa mtu). Halafu unaniomba nikukutanishe naye bila yeye kujua.

Naweza kutoa msaada huo ila siwezi kwenda zaidi ya hapo!

Sina hakika kama huo ni ukuwadi!

Babu DC!!
 
Ni kweli, kama wanauza maharagwe ya Mbeya, dalali muhimu
Ila kama unatafuta mwenza wa furaha, kuwadi ni marufuku.

Kongosho,

Nakubaliana na wewe...Hao wote ni wapuuzi!

Ila kama kuna material motivations, hilo ni suala jingine; kwa sababu huo utakuwa ni udalali na biashara kama biashara nyingine!!

Babu DC!!
 
Unajua hapa inategemea na mtizamo wa mtu.

Mie hata iweje, kutafutiwa mwenza au kutafutia ndugu yangu mwenza
Siamini katika hilo, nahisi najua nachotaka, na ninataka nikitafute mwenyewe, nikijaribu na nijiridhishe
Ili kikinishinda, iwe juu yangu.
Ewaaaaaa hapa umenena....

Hivi Kongosho jaribu kupata hii taswira nyengine...lol

Wewe na Bossman mlivodondokeana, halafu kuwadi anakuja anaanza kukwambia aah usimshobokee bossman bana mbona kuna moskwito mnyonya damu bana yuko poa mi namfahamu kitambu na yeye anataka mchuchu...

wakati huohuo anafanya maongezi na Bossman na kukuponda ile mbaya na kumwambia Bossman ntakuunganisha na Mdada ninamfahamu vizuri....

Hivi huo ni ukuwadi au ni zaidi ya ukuwadi?
 
Watu wasichanganye kuunganisha dots na ukuwadi,

Mfano, mie nafanya kazi na dada unayempenda (siyo mke au GF wa mtu). Halafu unaniomba nikukutanishe naye bila yeye kujua.

Naweza kutoa msaada huo ila siwezi kwenda zaidi ya hapo!

Sina hakika kama huo ni ukuwadi!

Babu DC!!

You will be setting a trap for yourself doing that!
 
Watu wasichanganye kuunganisha dots na ukuwadi,

Mfano, mie nafanya kazi na dada unayempenda (siyo mke au GF wa mtu). Halafu unaniomba nikukutanishe naye bila yeye kujua.

Naweza kutoa msaada huo ila siwezi kwenda zaidi ya hapo!

Sina hakika kama huo ni ukuwadi!

Babu DC!!

....hahaha.....mjomba, hiyo 'ajira' ya kuunganisha kwa tafsiri yangu ndio ukuwadi wenyewe bana, (ashakum si matusi!)...

Sie tunaremba na majina mazuri tu, kama mkate na siagi ili kuficha 'dhana'...
 
Ewaaaaaa hapa umenena....

Hivi Kongosho jaribu kupata hii taswira nyengine...lol

Wewe na Bossman mlivodondokeana, halafu kuwadi anakuja anaanza kukwambia aah usimshobokee bossman bana mbona kuna moskwito mnyonya damu bana yuko poa mi namfahamu kitambu na yeye anataka mchuchu...

wakati huohuo anafanya maongezi na Bossman na kukuponda ile mbaya na kumwambia Bossman ntakuunganisha na Mdada ninamfahamu vizuri....

Hivi huo ni ukuwadi au ni zaidi ya ukuwadi?

....lol, huyo ni 'mtoa ushauri nasaha'....
Waweza mtafsiri vibaya, kumbe anamtizamo "nje ya boksi!"
 
....hahaha.....mjomba, hiyo 'ajira' ya kuunganisha kwa tafsiri yangu ndio ukuwadi wenyewe bana, (ashakum si matusi!)...

Sie tunaremba na majina mazuri tu, kama mkate na siagi ili kuficha 'dhana'...

Kuna haja ya kutafuta tafsiri ya ukuwadi......
na uwezeshaji......
 
Back
Top Bottom