Mwanaume..."KUWADI"

Kuwadi ni WAKALA au middleman.
Hana kosa.
Sidhani kuwa mwanamke wa msimamo atapagawa kwa kusikiza saundi za kuwadi, kama hakuwa na mbegu ya penzi kwa mwanaume anayemtaka!
PakaJimmy je kwa wanaume ni kitu cha kawaida maana tumezoea kuona wanawake ndio wanakuwa makuwadi kwa wenzao
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume bila aibu huwa makuwadi na kukuwadia wapenzi wa rafiki zao/ndugu yake bila aibu wala hiana. Ni tofauti pale ambapo huyo mwanamke umemtamani mwenyewe na kujaribu bahati yako kwa njia ya usaliti kuliko ukuwadi. Kuna wengine ni makuwadi na hata hawajijui kuwa ni makuwadi kutokana na ukweli kwamba wameshazoea tabia hizo hadi wanaona ni kawaida kwa hilo jambo wanalofanya.

Mara nyingi hawa ni watu ambao hupewa au ununuliwa kwa vitu vidogo kama offer za bia na vihela vya hapa na pale hawa wanaume wa hivi hawana sifa alizotoa
Asprin za kuwa Mwanaume Kamili.

Hata hivyo mwanaume anapomkuwadia mpenzi wa jamaa na hatimaye akafanikiwa kumuweka katika mstari na kutembea nae hapo kwa jamaa, nani alaumiwe zaidi? Yule kuwadi ambae wewe waona ni mtu wako wa karibu ila kakuzunguka ama yule mwanamke wako ambae anakubali kirahisi kabisa kuhamisha penzi hapo na kushawishika mara nyingi kutokana na pesa na kwenda kwa mwanaume huyo mpya?
TF,
Naomba nikufahamishe kuwa makuwadi wazuri sana(kwa sasa) ni Wanawake wenyewe!
Mimi nikimtaka mke wa Kongosho(assuming ni mwanaume) namtumia Ashadii!...anasaundisha na anaupeleka mzigo hadi eneo la tukio, na ananiDIPU kunijulisha kuwa niende kuhangaika!
 
Sometimes inatakiwa umlaumu mwanamke.... Kukuwadiwa kama kweli wampenda mpenzio sio rahisi labda kama mapenzi yako yaendeshwa kwa tamaa na si Mapenzi ya dhati... Kwamba aje mtu akushawishi umuache Mpenzi wako? Mie naamini mwanaume yeyete ambae ni rafiki wa Mwanaume wangu anapokuja kunipa habari zake mbaya.... Hayupo genuine. For hata kama ni kweli wanaume wana sifa ya Kulindana hakuna mfano!
 
Lengo lako haswa ni nini?

Hata hivyo mwanaume anapomkuwadia mpenzi wa jamaa na hatimaye akafanikiwa kumuweka katika mstari na kutembea nae hapo kwa jamaa, nani alaumiwe zaidi? Yule kuwadi ambae wewe waona ni mtu wako wa karibu ila kakuzunguka ama yule mwanamke wako ambae anakubali kirahisi kabisa kuhamisha penzi hapo na kushawishika mara nyingi kutokana na pesa na kwenda kwa mwanaume huyo mpya?

Refer hapo juu@Mende0
 
Kuwadi ni WAKALA au middleman.
Hana kosa.
Sidhani kuwa mwanamke wa msimamo atapagawa kwa kusikiza saundi za kuwadi, kama hakuwa na mbegu ya penzi kwa mwanaume anayemtaka!

Wewe una rafiki yako wa damu damu hajaoa sasa kila akikutembelea ofisini kwako anaona kabinti pale alafu jamaa amekazimia kweli kweli anataka kufika bei na kuweka ndani kawe kashemeji kako, sasa gia ya kuingia pale anashindwa anakuomba wewe kama rafiki yake umtengenezee njia ya kukutana na huyo binti sasa wewe hapo utakuwa umefanya kosa kumsababishia jamaa ako apate mchumba?
 
hahahahah!......

nani amekukuwadia mzee.....!?

i mean ni nani huyo aliyejifanya midomeeen kwenye mapenzi yenu ndugu finest...!
 
Wote watatu hawafai, kuwadi, anayekuwadiwa na mwanamke mwenyewe.

Mwanamke na akili timamu hawezi kubali mwanamme ambaye hana hata uwezo wa kujielezea
Mwanamme anayekuwadiwa, ana matatizo, sio mwanamme kamili
Mwanamme kuwadi, yeye asamehewe maana sidhani kama anajua hata kaja dniani kufanya nini.
 
TF,
Naomba nikufahamishe kuwa makuwadi wazuri sana(kwa sasa) ni Wanawake wenyewe!
Mimi nikimtaka mke wa Kongosho(assuming ni mwanaume) namtumia Ashadii!...anasaundisha na anaupeleka mzigo hadi eneo la tukio, na ananiDIPU kunijulisha kuwa niende kuhangaika!
PakaJimmy hili tukio linaweza kuwa la kweli ujue.... AshaDii tayari kaishafanya mambo kwa Kongosho (assuming ni Mwanaume)....lol..
 
Last edited by a moderator:
i find it very insulting....
Unakuwadiwa vile huwezi kujua utakacho?
Huna uwezo wa kufanya maamuzi binafsi?
Domo lako zege?

Huu uzi umeniudhi maana umenikumbusha jitu moja useless sana....
 
hahahahah!......

nani amekukuwadia mzee.....!?

i mean ni nani huyo aliyejifanya midomeeen kwenye mapenzi yenu ndugu finest...!
Teamo hahahaha...hamna banaa meeen....najua uko na expirensi haujawahi kukutana na haya makitu
 
Last edited by a moderator:
i find it very insulting....
Unakuwadiwa vile huwezi kujua utakacho?
Huna uwezo wa kufanya maamuzi binafsi?
Domo lako zege?

Huu uzi umeniudhi maana umenikumbusha jitu moja useless sana....

Hahaha,.....basi msitiri nawee.....harudii tena...
 
Kwangu mie, kama mwanamme hawezi mfuata mwanamke face to face, basi hafai hata kuwa jirani.

Mie mke wangu umimtumia kuwadi anakukimbiza na panga na ukienda mwenyewe anakukimbiza na mwiko.

Na ukimtuma AshaDii namvua baibui.

TF,
Naomba nikufahamishe kuwa makuwadi wazuri sana(kwa sasa) ni Wanawake wenyewe!
Mimi nikimtaka mke wa Kongosho(assuming ni mwanaume) namtumia Ashadii!...anasaundisha na anaupeleka mzigo hadi eneo la tukio, na ananiDIPU kunijulisha kuwa niende kuhangaika!
 
Last edited by a moderator:
RR haujawahi kukutana na "Kuwadi" wewe?
Kuna scenarios mbili au tatu labda...
  1. mwanaume (rafiki yako) kumuunganisha mpenzi wako kwa mwanaume mwingine.......
  2. mwanaume (si rafiki yako) kuwa 'middle man' kwa mpenzio
  3. mwanaume kumweka mpenzio katika mazingira 'hatarishi'; ila bila kukuwadia
Sasa ni kipi unachosema hapa.....
Au concern ni kwa nini asitongoze yeye na 'kutongozea' wengine?
 
Teamo hahahaha...hamna banaa meeen....najua uko na expirensi haujawahi kukutana na haya makitu

.....i mean, una maana hajawahi "kukuwadiwa" .....hahaha.....kama kuna mwanaume au mwanamke hajawahi 'pigiwa pande' anyooshe mkono juu!
 
Last edited by a moderator:
Wewe una rafiki yako wa damu damu hajaoa sasa kila akikutembelea ofisini kwako anaona kabinti pale alafu jamaa amekazimia kweli kweli anataka kufika bei na kuweka ndani kawe kashemeji kako, sasa gia ya kuingia pale anashindwa anakuomba wewe kama rafiki yake umtengenezee njia ya kukutana na huyo binti sasa wewe hapo utakuwa umefanya kosa kumsababishia jamaa ako apate mchumba?
Mende0 huu mfano mzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom