Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,524
- 146,048
Mmmmhhh,mpe pole Lizzy jamani,mwambie in case of imegense nipo karibu maana kwa sasa naishi maeneo ya arumeru mashariki.
Lizzy keshahama toka Arusha.
Mmmmhhh,mpe pole Lizzy jamani,mwambie in case of imegense nipo karibu maana kwa sasa naishi maeneo ya arumeru mashariki.
I was just guessing,kumbe ni kweli yalimkuta? Poor TF,nikimjua mkuwadia na mkuwadiwa wa bibi wa TF hakika nitawamwagia tindikali.MJ1 mwaga full datas hapa nizifanyie kazi.Mbu, mambo?!
Nakuwekea mto kwenye gari baba wala usipate presha eh Laaziz.
The Finest bana...umekaa naloooooooooo leo ndo umeamua kulishusha!
Lizzy keshahama toka Arusha.
Umejuaje?
Hahahaha mkuu hiyo biashara naiogopa sana,bishanga sera yangu ni kuishia kwenye key board,wasanii kibao humu mpaka kwenye skype feki unadhani dem kumbe anatembea na smith & wetson/beretta na kikopo cha vaseline!Heheheee kaka mbona una kiroho dunda namna hiyo?
Hapa JF watu huwa wanatumiana PMs, wakishawasiliana kwa PMs wanahamia fesbuk, yahoo mesenja, skaipu, whatsapp, gmail, simu, na kadhalika. Wakishazivuka hatua hizo wanakutana ana kwa ana sasa.
Hahahaha mkuu hiyo biashara naiogopa sana,bishanga sera yangu ni kuishia kwenye key board,wasanii kibao humu mpaka kwenye skype feki unadhani dem kumbe anatembea na smith & wetson/beretta na kikopo cha vaseline!
Teh teh teh....gotta be careful humu. Too many backstabbers too.
Ujue mie Bwa'Nchuchu namfahamu kabisa, anaishi nyumba ya kupanga Temeke Mikoroshini. Inahu?
Watch out kabisa lol
Hahahaha mkuu hiyo biashara naiogopa sana,bishanga sera yangu ni kuishia kwenye key board,wasanii kibao humu mpaka kwenye skype feki unadhani dem kumbe anatembea na smith & wetson/beretta na kikopo cha vaseline!
Umepatia kweli kweli. Na kabla ya kuhamia TMK alikuwa akiminya pande za Mabwepande kwa Fundi Viatu.
Du kumbe game ndo linavyochezwa humu ndani ya JF...I learned s'thing new today!.Heheheee kaka mbona una kiroho dunda namna hiyo?
Hapa JF watu huwa wanatumiana PMs, wakishawasiliana kwa PMs wanahamia fesbuk, yahoo mesenja, skaipu, whatsapp, gmail, simu, na kadhalika. Wakishazivuka hatua hizo wanakutana ana kwa ana sasa.
Du kumbe game ndo linavyochezwa humu ndani ya JF...I learned s'thing new today!.
Mzembe gani uyo? unajua sayansi imesibitisha kwamba hata vilaza pia husababisha global warming.alikuwa kafulia sana, mie ndio nimemtafutia kazi.
Fomu foo alipata Foo ya 37.
Dah, maigizo huchekesha kwa kweli.
Te te te..that was a good guess.I was just guessing and I don't recommend anyone meet anybody from here.
we acha tu,better play it safe brother.Teh teh teh....gotta be careful humu. Too many backstabbers...
konnie jamani,mi na wewe si tumefahamiana hata jf haijazaliwa?Hivi tunapokutana kila siku wewe huwa ni recorded?
Ndo maana ngozi yako huwa kama ya Eddy kwenye Big Mom, lile li chibonge.
ntakuchapa!Hivi tunapokutana kila siku wewe huwa ni recorded?
Ndo maana ngozi yako huwa kama ya Eddy kwenye Big Mom, lile li chibonge.
Hahahaha!! Bwa'Nchuchu
I'm serious as a massive heart attack.