Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,524
- 146,048
Nitaishia kunawa sio? Teh teh teh unafikiri sijui hali ya mambo? Najua kibiriti kimejaa hata utikise vipi hakitoi mlio.
Hahahaaa...nimeshakuambia endelea tu kujipa moyo. Mimi najua Lizzy hapendi mabepari wa Kihaya.
Lakini kwa nini tuandikie mate ilhali na wino upo.
Lizzy Lu njoo ukuje ukate mzizi wa fitna hapa. Wewe unapenda Wasukuma au Wahaya?