Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
hata prince charles alikuwa anamwambia maneno haya haya diana kumbe anatoka kwa camilla parker bowles.We ngoja usitoke huko salama!!
Alafu wewe mazungumzo gani unaongelea? Hiyo juzi nlikua Dar kumsaidia mupenzi kuhama kwahiyo hata kama unajaribu kuchokonoa imekula kwako hiyo.