Mwanaume..."KUWADI"

Mwanaume..."KUWADI"

Sidhani kama ni mjadala mpya, ila ntautafutia siku nianzishe sred.
Ngoja tumalizane na kuwadi wa TF kwanza maana kamuudhi bht sana.
Kongosho naona bht kafanikiwa kuweka breki kabisa akaongeza na handbreak ajizuie kufunguka maudhi yaliyomkuta
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha!!! Una balaa wewe nikitolewa nduki...kwanza una shilingi ngapi ili twende sawa?

Mwoga weye,unamgwaya mkuwadiwaji! (Halafu nasikia ni shem wako,sasa huoni kazi ingekuwa rahisi?).
 
Sidhani kama ni mjadala mpya, ila ntautafutia siku nianzishe sred.
Ngoja tumalizane na kuwadi wa TF kwanza maana kamuudhi bht sana.

Bht tusimharibie siku bana, huyu TF mchokozi sana....

Nióavyo mie...."penye udhia penyeza rupia." Penye mshiko, kuwadi ataitwa majina mazuri tu, mf "Shem"...."Shoga"...maisha ya kizazi hiki, hata mzazi anamkuwadia mwanae!
 
Hahhaaaa shemeji Mbu kanikataza ndo maana...ngemtaja mimi...lol!

....wasikushawishi umtaje bana....lol....'mjumbe hauwawi'...

Nyie wanaume, wake zenu mnaowaacha saloon siku mkiwategeshea microfone/tape recorders mtayasikia mengi kuliko kipindi cha 'mikasi' cha salama Jabir...

2012, kazi ni kwako, chaguo ni lako....
 
Bht tusimharibie siku bana, huyu TF mchokozi sana....

Nióavyo mie...."penye udhia penyeza rupia." Penye mshiko, kuwadi ataitwa majina mazuri tu, mf "Shem"...."Shoga"...maisha ya kizazi hiki, hata mzazi anamkuwadia mwanae!
Mbu hivi hii inakubalika eheee?
 
Last edited by a moderator:
You will be setting a trap for yourself doing that!

Unamaanisha nini Mkuu?

....hahaha.....mjomba, hiyo 'ajira' ya kuunganisha kwa tafsiri yangu ndio ukuwadi wenyewe bana, (ashakum si matusi!)...

Sie tunaremba na majina mazuri tu, kama mkate na siagi ili kuficha 'dhana'...

Kwa hiyo kaka, hata mtu akiomba namba ya simu for good intention tusimpe?

Binafsi nilidhani kuwa mtu akija akakujulisha kwamba anahitaji mawasiliano na binti (YY) na kukuomba msaada wa kumfikia (number ya simu au casual introduction) si tatizo. Nilitegemea kuwa shida iwe pale ambapo mtu unajiingiza 100% kushawishi/kubembeleza ili mahusiano yawepo. Halafu kama huyo ni binti (not married and not committed), ukuwadi unakujaje hapo??


Babu DC!!
 
Hebu nielezeni tatizo la mtu kuwa kuwadi manake mpaka sasa hivi sijaliona kabisa kabisa :rolleyez:
 
....wasikushawishi umtaje bana....lol....'mjumbe hauwawi'...

Nyie wanaume, wake zenu mnaowaacha saloon siku mkiwategeshea microfone/tape recorders mtayasikia mengi kuliko kipindi cha 'mikasi' cha salama Jabir...

2012, kazi ni kwako, chaguo ni lako....
Hahahaaa sidanganyiki mimi...

Mbu mie bana wala hana haja ya kutegesha tape recorder wala cctv wala nini namsimulia mwenyewe tu....
 
Binafsi nilidhani kuwa mtu akija akakujulisha kwamba anahitaji mawasiliano na binti (YY) na kukuomba msaada wa kumfikia (number ya simu au casual introduction) si tatizo. Nilitegemea kuwa shida iwe pale ambapo mtu unajiingiza 100% kushawishi/kubembeleza ili mahusiano yawepo. Halafu kama huyo ni binti (not married and not committed), ukuwadi unakujaje hapo??


Babu DC!!

Kwani kuwadi maana yake inakoma kwenye watu waliocommited tu?

Kuwadi kimsingi wa neno lenyewe ni PIMP yoyote tu
 
Kwa hiyo kaka, hata mtu akiomba namba ya simu for good intention tusimpe?

Binafsi nilidhani kuwa mtu akija akakujulisha kwamba anahitaji mawasiliano na binti (YY) na kukuomba msaada wa kumfikia (number ya simu au casual introduction) si tatizo. Nilitegemea kuwa shida iwe pale ambapo mtu unajiingiza 100% kushawishi/kubembeleza ili mahusiano yawepo. Halafu kama huyo ni binti (not married and not committed), ukuwadi unakujaje hapo??


Babu DC!!
Babu DC kweli hii sio ukuwadi RR alisema it's some kind of facilitation
 
Last edited by a moderator:
Hebu nielezeni tatizo la mtu kuwa kuwadi manake mpaka sasa hivi sijaliona kabisa kabisa :rolleyez:
Nafikiri wengi wao wamekuwa wakitumika kukwapua wapenzi wa wenzao ndio maana inaonekana ni tatizo (just assuming)
 
Mbu hivi hii inakubalika eheee?

...yategemea umekamata makali, au umekamata mpini....

Wewe jukumu lako unapeleka mboga, vijizawadi, repair ndogo ndogo, na hata kulipia Luku.....utaskia "....karibu tena baba, usiadimike hivyo.....wewe Chausiku msindikize mwenzio...usichelewe kurudi!"
 
Last edited by a moderator:
I that case kutoa namba ya simu au kuuza sehemu apendapo kwenda sio ukuwadi......

Hivi arranging a blind date for a friend nayo ni ukuwadi? Coz I thought ukuwadi is for benefits only...

Haya yatafutiwe definition nyingine kwani sioni kama yanafit kwenye maana ya ukuwadi ambayo kaitoa Mheshimiwa sana, ndugu Mbu!!
 
Back
Top Bottom