Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Haya yatafutiwe definition nyingine kwani sioni kama yanafit kwenye maana ya ukuwadi ambayo kaitoa Mheshimiwa sana, ndugu Mbu!!
Watu mnataka kuremba mambo yanayowapendeza tu...Kuwadi ni yoyote yule anaeunganisha watu wawili.
Wazungu wana cupid na pimp wakiwa na maana tofauti ila kwetu sisi waswahili wote makuwadi tu