Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
HaaahaaaasHuyu jamaa nimuongo, kweli unatembea hivo bila kitu chakusaport ndani, yani napiga picha inavochezaga ndani ukiwa unatembea ni kama pendrum bob,
Kwa nini asivae?kwahiyo hata baba ako asipovaa chupi anaelekea kua delicious!!?kua na adabu eboo
kusukuma ukuta ndiio nn
Sababu ya kutovaa ni nini?Wakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Mi huwa navaa boxa, je hio bixa inavaliwa wapi?Ngoja wana saikologia waje. Dah uvai hata bixa ?????
Bac itakuwa hufui vzr ukivaa zinakuwashamm blood ni tozi haswaa
HahahahahahahSiku ukiingia period utajuta