First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 2, 2014 #81 mwanaume kusema mwaka huu utajibebaaa... ushoga huo..
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,941 Reaction score 105,384 Aug 4, 2014 #82 Kuna haja ya maneno kuwekewa alama kabla ya matumizi.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Aug 4, 2014 #83 KakaJambazi said: Mkuu hiyo ni dalili ushaanza kuzeeka. Uanzee tu kuitikia "marahaba" na acha zile za kujifanya hujaskia shikamoo. Click to expand... Hahahaha mkuu KakaJambazi umenichekesha sana, hivi unajua humu jf kuna watu wanaandka na kusoma tu kiswahili lakini hawaongei huko walipo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KakaJambazi said: Mkuu hiyo ni dalili ushaanza kuzeeka. Uanzee tu kuitikia "marahaba" na acha zile za kujifanya hujaskia shikamoo. Click to expand... Hahahaha mkuu KakaJambazi umenichekesha sana, hivi unajua humu jf kuna watu wanaandka na kusoma tu kiswahili lakini hawaongei huko walipo?
Spyware JF-Expert Member Joined Mar 8, 2014 Posts 254 Reaction score 67 Aug 4, 2014 #84 magnifico said: Watanzania tuna vitu vingi sana vya kujadiili, hadi "sheeda" sijui imefunguliwa thread. Mi nasepa. Click to expand... Kwa dalili hizi mashoga watakuwa wengi Sana lol
magnifico said: Watanzania tuna vitu vingi sana vya kujadiili, hadi "sheeda" sijui imefunguliwa thread. Mi nasepa. Click to expand... Kwa dalili hizi mashoga watakuwa wengi Sana lol
kisungu JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 788 Reaction score 266 Aug 4, 2014 #85 Lidume zima lina mavuzi na ndevu unasikia eti 'haya mwaya'
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,582 Reaction score 3,272 Aug 4, 2014 #86 Dah!!!kazi kweliii....chalii ya mainiii.akaoshi nanuu.cheee.hu sasa ni upufu, kwafasi dwasi ni msemo tu
Dah!!!kazi kweliii....chalii ya mainiii.akaoshi nanuu.cheee.hu sasa ni upufu, kwafasi dwasi ni msemo tu
M MANYEMA2013 Senior Member Joined Aug 3, 2013 Posts 118 Reaction score 52 Aug 4, 2014 #87 kisungu said: Lidume zima lina mavuzi na ndevu unasikia eti 'haya mwaya' Click to expand... ha ha ha ha
kisungu said: Lidume zima lina mavuzi na ndevu unasikia eti 'haya mwaya' Click to expand... ha ha ha ha