Mwanaume kutamka ni "Sheedah"


We Mkiu acha kutuvunja mbavu wenzio.
 
Ni dalili ya ushoga. Haipendezi kabisa rijali kutamka ivo.

Ni kweli kabisa mdau, kuna K mmoja ni ka dj hapa town kanajiita cjui choka ndio maneno yake hayo mi mpaka na wasiwasi nae kama punyenye lile dume zma kutamka ungese kama huo bloodfull
 
Mimi kwa mtazamo wangu,neno "shida",silioni kama ni la kike.Lakini jinsi watu wanavyolitamka sasa ndo imekuwa tatizo.Utakuta ile pronounciation(matamshi) yake hata uandishi wake vimebadilishwa na kuonekana kama vile wanawake ndio wana hakimiliki ya neno hilo.Sasa neno shida uje uliandike "sheeda",ni sahihi?

Jambo la muhimu,tusipende kuiga-iga kila kitu,maana unaweza ukawekwa kwenye kundi ambalo halikuhusu.Na hawa ndugu zetu wasanii wa bongo fleva wanachangia kwa kiasi kikubwa katika kuporomosha lugha yetu hadhimu ya kiswahili kwa vijimisemo vyao.
 

kweli inakera sana mwanaume kukuambia @'USIJALI WANGU'
 
kuna vijana wengi.mjini wanapumuliwa hata hayo maneno hawayatamki......vijana wa Arusha na Kilimanjaro.

baashi ya maneno yapo kike kike lkn baadhi ni.muendelezo wa misimu
 
Huu msemo ni Wa Arusha Aisee...

Mbona mimi natamkaga tuu...Ni kama vile kuonesha uzuri au ubaya wa kitu....

Yule chalii alileta shazi ya ajabu hapo mtaani....Ilikuwa ni shiidaah...(In RChugga voice)

cc KakaJambazi
 
Last edited by a moderator:
Njooni Arusha muone jinsi maneno hayo yanavyotumika kichalii chalii...

Yani ni shiiidaah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…