Kuna lidume lilinita hivyo siku moja nililitwisha makonzi!
Au dume zima utalisikia linasema '...kan'tangaze'
Au dume zima utalisikia linasema '...kan'tangaze'
Mkuu mbona kuna jamaa mwenye ID hiyo humu ndani! Unataka kisemaje hapo? Utapigwa ngumi ya pua Mkuu!!
yupo, si huyu hapa kan'tangaze na mpaka saa 09:38 amekuwepo hewani!
Mkuu nimecheka sana.
Kuna lidume lilinita hivyo siku moja nililitwisha makonzi!
Ni dalili ya ushoga. Haipendezi kabisa rijali kutamka ivo.
Huyo mwenye ID hiyo kwa vyovyote atakuwa ni jinsia ya ke.
jamani mimi mshamba hilo neno lol lina maana gani kwani? maranyingi nimeliona na sijui maana yake
interesting...
jamani mimi mshamba hilo neno lol lina maana gani kwani? maranyingi nimeliona na sijui maana yake
kuna mzenji nilimwita " mwana" alinimaind balaa,kwao mwana ni mtoto wa kike
mambo(kwa besi) dear
Ukijisikia kununa ingia Jf usuuze nafsi yako.... nimechekaje