Mwanaume kujiliza liza kha!

Sarafina1

Senior Member
Mar 28, 2011
153
85
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati
 
Mbona Thread imekaa kishari sana?
 
Unayemwambia yupo humu JF??Nakama kakulilia sinikwamba anakutegemea umfute machozi sasa wewe baada ya kumfuta machozi unamwanika huku JF??!!Vihoja kweli haya nadhani kasikia!
 
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati

Mfumo dume unapungua na jike unapanda.Gender equaliity.
 
Sasa kinachowakasirisha ni nini? wanaume wamezidi kujiliza liza hovyo mpaka inakera ati. Tena pengine bila hata sababu za msingi
 
Unayemwambia yupo humu JF??Nakama kakulilia sinikwamba anakutegemea umfute machozi sasa wewe baada ya kumfuta machozi unamwanika huku JF??!!Vihoja kweli haya nadhani kasikia!

Kama mpo wa aina hiyo mwatakiwa kujua hiyo tabia inakera sana, maana mpaka inashindwa kujulikana nani mwanaume na nani mwanamke
 
Sasa kinachowakasirisha ni nini? wanaume wamezidi kujiliza liza hovyo mpaka inakera ati. Tena pengine bila hata sababu za msingi

wanaume gani hao?? uliokutana nao ? au ni wanaume wote??..na wanalia kwa sababu gani? kupiga mzinga au?
 
Ujio wa Feb na March huo umesahau Speaker?
Yaani sijui Mod watadhibiti vip hizi craps,
Zinaidharirisha sana JF yetu!!
I hate this kind of craps!

Kwa nini uite crap babaubaya? kwani si iko sehemu ya mahusiano? mbona wanaume wamekazana mara wadada wauwaji, mara wadada wana mapenzi ya pesa na hauoni ni crap?

Sasa kama mwanamke tu kupenda pesa na wakati mwanaume ndio unatakiwa umtunze mnakereka, je hili la mwanaume kujiliza liza kuliko hata mwanamke liko sawa
 
wanaume gani hao?? uliokutana nao ? au ni wanaume wote??..na wanalia kwa sababu gani? kupiga mzinga au?

Sio wanaume wote ila, limeanza kuibuka kundi la wababa kazi yao akiwa na mpenzi basi kazi yake ni kupiga mizinga tu bila aibu, na hii tabia inaonekana kukua sana
 
We mtoto koma kabisa. Shida haina mwanaume au mwanamke.

Kaka yangu umenichekesha sana eti we mtoto koma kabisa. Haya nimekoma kaka. Ishu sio shida kaka yangu yaani hii kuna wanaume wamefanya tabia mpaka hujui lini ana shida na lini hana.

Nyinyi wenyewe mwaonaga kero kuombwa ombwa na mnalalamika
 
Sio wanaume wote ila, limeanza kuibuka kundi la wababa kazi yao akiwa na mpenzi basi kazi yake ni kupiga mizinga tu bila aibu, na hii tabia inaonekana kukua sana

hii tabia una ushahidi nayo? mi nafikiri ungekuja na kisa ulichokumbana nacho au ulichokisikia kuhusiana na hii tabia, vinginevyo hapa tunaona hoja yako haina msingi

Umekutana na wanaume wangapi wenye tabia hii??
 
kujiliza liza kiaje? heb toa stori itakayo support thread yako, manake mi sijaelewa....alikulilia wakat anakupiga mzinga? au uligoma kumtoa msela akamwaga chozi?
 
Sio wanaume wote ila, limeanza kuibuka kundi la wababa kazi yao akiwa na mpenzi basi kazi yake ni kupiga mizinga tu bila aibu, na hii tabia inaonekana kukua sana
Mwambie straight aliyekupiga mzinga, sio unakuja hapa JF, una uhakika huyo bwanako anakuja hapa?
After all si mnapendana...iweje utafute usuluhishi kwetu, si myamalize chumbani kwenu?
 
duh dada wamekufanyaje tena leo.........................!

Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati
 
Hehehehehe habari yake mariooooooooo, hebu ngoja tarudi dearest sarafina lol
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom