mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 903
Mbona hao walegeza suruali,warembuaji,walegeza sauti,wavaa heleni,wavaa suruali za kubana.e.g Diamond, Ali Kiba, ndio mnao washobokea?
Mbona hao walegeza suruali,warembuaji,walegeza sauti,wavaa heleni,wavaa suruali za kubana.e.g Diamond, Ali Kiba, ndio mnao washobokea?
ila haka ka wanaume kuvaa chupi za wake zao kapojeeeeeee maana kamezidi vile majuzi kuna workmate ile kuinama kajipigilia kufuri la mke wake wote chekooooooooo
Miaka 50 mbali miaka kumi na tano ijayo itakuwa matatizo tutakua tunanyang'anyana makeup ndani na madukani [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Bado kabisa sahivi ni kidogo bado wanajifichaficha wengine .... Tutawaachia maduka ya vipodoziMbona ipo hiyo tayari ya kunyang'anyana make up dukani.
...na seriously mwanaume hanywi castle lite!Dume zima unalewa beer moja ww sio mwanaume
kuna madume wengine wanamung'unya lolypop, yaani huwa hainipi jibu la moja kwa moja kwa mtu wa namna hiiDume zima unalewa beer moja ww sio mwanaume
Umefanya nini??[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaha huu uzi
Teh teh teeeh! Haki wanaume wanatoweka soon.Miaka 50 mbona ni mbali? Angalia nguo na sandaz wanazovaa siku hizi. Halafu wamekuwa ombaomba tu kama madem. Ngoja tuone mwisho wake...
Mwanaume kutwa nzima unabugia madumu ya maji ili uwe mweupe!!!.
Mbona hapo kwa kiasi kikubwa mnasemana wenyewe, kumbe hata nyie mnakereka!!Naona at least sasa wadada Wa jf wamepata pa kuwasemea wanaume...
Men....
We need serious changes.
Yes. Hatufurahii kuona baadhi yetu tunakua wabana pua, shogaz, kujichubua, kuwa mariooo.. ..Mbona hapo kwa kiasi kikubwa mnasemana wenyewe, kumbe hata nyie mnakereka!!
By the way hujambo shem darling wangu? Mwambie dogo talaka inamuhusu soon, lasivyo ajisalimishe.
Mrudishie smatifoni yake jamani, kweli ndio uliamua kuuchukua ule ushauri?Yes. Hatufurahii kuona baadhi yetu tunakua wabana pua, shogaz, kujichubua, kuwa mariooo.. ..
Tunaumia saana.
Sijambo Dada shemeji. Namuombea msamaha.....hako katalaka nipe miee.....maaana its 100% I deserve it. Na sio yeye. Nahusiika kwa kutokuwepo kwake.
mkuu acha wajichekeche wenyewe tubaki wenyewe tule papuchi kwa mafungu.si tupo wachache bidhaa inapokuwa chache hutafutwa kwa uhitaji mkubwa.Yes. Hatufurahii kuona baadhi yetu tunakua wabana pua, shogaz, kujichubua, kuwa mariooo.. ..
Tunaumia saana.
Sijambo Dada shemeji. Namuombea msamaha.....hako katalaka nipe miee.....maaana its 100% I deserve it. Na sio yeye. Nahusiika kwa kutokuwepo kwake.
ujinga ni upi?Acheni mambo ya kijinga..