Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,673
nikuulize wewe mkuu,hivi ishawahi kukupata kuwa unamtamani mwanaume mwenzio lets say kama mwanamke yaani kumwona me amejaza jaza kama mdada laini sana ana sura nzurii mpaka ukajihisi kusisimuka kwa kumwona tu na kama mwanaume yaani unahisi kama unawish angekuwa your hero someone have you ever felt like that?hata anaejihusha kwanini ujiingize katika ushoga? nilishangaa iringa unaambiwa waliojiweka wazi zaidi ya 1500 tena wanavyuo kwanini hizi tabia ipo bongo5 hii habari