Mwanaume, kiumbe adimu aliye hatarini kutoweka

Haaaa haa ila wanaakili mnoo...maaana wanapata papuch bila nguvu kubwa
Wapuuzi,ndio wanaosabisha watoto wasio na malezi maana hawakawii kuzikataa mimba.maana target yao huwa papuchi tu
 
Nchi changa haiwezi kuendelea kwa kutegemea PAPUCHI
 
Miaka 50 mbali miaka kumi na tano ijayo itakuwa matatizo tutakua tunanyang'anyana makeup ndani na madukani [emoji14] [emoji14] [emoji14]

hahahahahahahah nyie watu yaani hapa imagni mchezo ukooo..........

mr; bby nimesema staki hiyo lotion yangu mbonaq unaimimina kwa wingi
mrs: mmmh kidogo tuu aafu, uondoke hapo kwenye dressing table na mie nikae

hahahahahahahahah kweli dunia imekwisha wazazi tuna kazi ya ziada
 
tamthilia hii nzuri sana kwa TV
 
natamani kuongea kitu hapa ila nadhani kitabadilisha hali ya hewa humu ndani.... Ningemuelewa mtoa bandiko kama na yeye angetUambia jinsi yake.. Maana kwa bandiko hili nadhani limeandikwa na mtoto wa kike... Hakuna mwanaume lijali anayeweza kuandika hili tena katika aina ya mkono kiunoni kama mwandishi wa hili bandiko. Bujibuji ww ni jinsia gani? Tuanzie hapo
 
hahahahahahahah nyie watu yaani hapa imagni mchezo ukooo..........

mr; bby nimesema staki hiyo lotion yangu mbonaq unaimimina kwa wingi
mrs: mmmh kidogo tuu aafu, uondoke hapo kwenye dressing table na mie nikae

hahahahahahahahah kweli dunia imekwisha wazazi tuna kazi ya ziada
Sio kidogo Mungu niepushie adha hii
 
Chukueni hatua muokoane, la sivyo hali si hali, kwa umbea,majungu na upashukuna sasa ndio mweeeeeh!! Yaani sijui tuelekeako itakuwaje.

Watu wenyewe mko wachache alafu tena bado eti ndsni yenu kuna wanawake[emoji134] [emoji134] sasa mnataka tujiwowe!!

hahahahah atoto ntakuchapa huku umefata nini WANAWAKE MUONDOKE HUKUUUUUUUU
 
natamani kuongea kitu hapa ila nadhani kitabadilisha hali ya hewa humu ndani.... Ningemuelewa mtoa bandiko kama na yeye angetUambia jinsi yake.. Maana kwa bandiko hili nadhani limeandikwa na mtoto wa kike... Hakuna mwanaume lijali anayeweza kuandika hili tena katika aina ya mkono kiunoni kama mwandishi wa hili bandiko. Bujibuji ww ni jinsia gani? Tuanzie hapo

MWANAMKE HUYU HUONI KAWAITA WENZIE WANABWABWAJA SANA mwanaume ataendelea kuwa kiongozi wao waache waimbe
 
Acheni kuturudisha miaka ya nyuma Mwanaume kutumia minguvu,ukorof,ubabe na ukali wa kijnga....mwanaume wa sasa anatumia zaid akil kuish kiteknologia,,,ndio maana tulifanywa watumwa na wazungu kwa kukosa akili
Men Wa kwel Dyudyu ifanye kaz na akil kwakichwa
hata ulivyo andika tu inaonekana wewe sio mwanaume
 
Wanaume wanaoniboa ni hawa wanaowekwa unyumba huku ukimwita mwanaume mwenzio bebi et unamgombania mwanaume mwenzio na kumuonea wivu wa mapenz mwanaume mwenzio inauma sana
umeona eehh mkuu Daudi1 katika vitu navinyali ni hivyo unaanzanje kusisimuka kwa mwanaume mwenzio jamani gggghhhrrrr
 
hata anaejihusha kwanini ujiingize katika ushoga? nilishangaa iringa unaambiwa waliojiweka wazi zaidi ya 1500 tena wanavyuo kwanini hizi tabia ipo bongo5 hii habari
 
Hbr kuhusu iringa ya kizushi mashoga wamejaa pwani kma dar na tanga mombasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom