KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,053
Wewe ni mwanaume au MWANAMUME....???ndo' umeandika nini hapo?
Wewe ni mwanaume au MWANAMUME....???ndo' umeandika nini hapo?
katika kamusi ya kiswahili ni lipi neno sahihi hapoWewe ni mwanaume au MWANAMUME....???
Yote ni sahihi kulingana na sifa ulizo nazo.....hujawahi kusikia mtu anakuambia JIKAZE KIUME....katika kamusi ya kiswahili ni lipi neno sahihi hapo
bado kumbembeleza mkewe amtoboe pakunyea na kidoe cha kupimia teziila haka ka wanaume kuvaa chupi za wake zao kapojeeeeeee maana kamezidi vile majuzi kuna workmate ile kuinama kajipigilia kufuri la mke wake wote chekooooooooo
una utani na Kanye Westbado kumbembeleza mkewe amtoboe pakunyea na kidoe cha kupimia tezi
Dume huyo.
hawakawii baby nyuma panawasha nkune,kwa kweli tunasikitisha mno.wmwanaume anavaa suruali pochi haiingii,mwanaume anabana pua.eti mkuu umewahi kusikia anavyoongea dullah wa planet bongo.una utani na Kanye West
Acha kumzungusha msela.. Jikaze Kiume Lipo, je lina uhusiano gani na neno MWANAUME au MWANAMUME? au Ni zipi tofauti kati ya Maneno hayo hapo juu.Yote ni sahihi kulingana na sifa ulizo nazo.....hujawahi kusikia mtu anakuambia JIKAZE KIUME....
Sio anatulia akisubiri kusifiwa bali anasubiria eti "like"Halafu anatulia anasubiri kusifiwa.....
wewe kuwa navyo vyote dyudyu isifanye kazi uoneKiumbe mwanaume, haimaanishi tu kuwa na uume, ila ni zaidi ya uume.
Mwanaume wa Leo anatafuta jimama limlee...... huyo sio mwnaume
Mwanaume kutumia mkorogo, wewe sio mwanaume kaanzishe jinsia yako
Mwanaume kukaa vijiweni kupiga majungu, umbea na usengenyaji, dumme ,zima unampiga majungu binti, wewe si mwanaume, katafute jinsia yako.
Dume zima umewekwa kinyumba na mwanaume mwenzako, wewe ni baba yake mkubwa shetani
Umeshatoka nje ya mada..Acha kumzungusha msela.. Jikaze Kiume Lipo, je lina uhusiano gani na neno MWANAUME au MWANAMUME? au Ni zipi tofauti kati ya Maneno hayo hapo juu.
Siku nyingi sana....Ingekuwa Syria ili jamaa lishakula kisu cha shingo tena kisu butu
kama kawa bujibuji katika ubora wakeHahaha huu uzi
Kiumbe mwanaume, haimaanishi tu kuwa na uume, ila ni zaidi ya uume.
Mwanaume wa Leo anatafuta jimama limlee...... huyo sio mwnaume
Mwanaume kutumia mkorogo, wewe sio mwanaume kaanzishe jinsia yako
Mwanaume kukaa vijiweni kupiga majungu, umbea na usengenyaji, dumme ,zima unampiga majungu binti, wewe si mwanaume, katafute jinsia yako.
Dume zima umewekwa kinyumba na mwanaume mwenzako, wewe ni baba yake mkubwa shetani
Duuuh... Sawa blazaaaUmeshatoka nje ya mada..