Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,201
Bila samahani mkuu, hapana niwewe huyo!
hahahahaha rubiii mama safari njema utatia hasira watu
Bila samahani mkuu, hapana niwewe huyo!
Bila samahani mkuu, hapana niwewe huyo!
Miaka 50 mbona ni mbali? Angalia nguo na sandaz wanazovaa siku hizi. Halafu wamekuwa ombaomba tu kama madem. Ngoja tuone mwisho wake...Miaka hamsini ijayo hivi viumbe vitakuwa historia
Dah hii kweli aisee ngoja tuombe uzima ili tushuhudie yajayo.Miaka 50 mbona ni mbali? Angalia nguo na sandaz wanazovaa siku hizi. Halafu wamekuwa ombaomba tu kama madem. Ngoja tuone mwisho wake...
Aiseeee mbaya sana hiiMiaka 50 mbali miaka kumi na tano ijayo itakuwa matatizo tutakua tunanyang'anyana makeup ndani na madukani [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Ha ha ha jamani shosti mie Nina bahati mbaya ya kukutana Na hao omba omba aiseee, huwa nachukia sanaMiaka 50 mbona ni mbali? Angalia nguo na sandaz wanazovaa siku hizi. Halafu wamekuwa ombaomba tu kama madem. Ngoja tuone mwisho wake...
Walikosewa na nani!? Muumba?Jinsia ya kiume inayovaa hereni, inayovaa nguo za kubana kama dada yake
Inayocurry nywele
Inayojichubua hao ni wanawake sema tu walikosewa jinsia
Wanatamani wawe wadada
Kumbe we ndiye hujui basi, kikawaida inabidi uanze na dozi nzito asubuhi kisha malizia na supu ya pweza as a dinner!!Labda kazi yako ni kubeba zege mzee so usitake kila mtu ale dona asubuhi wakati sio official breakfast
ndo' umeandika nini hapo?Takwimu zinaonyesha kuwa katika wanaume mia kuna mwanamume mmoja...
[video] [/video]
nimeipendaa hiiMwanaume Busy ukiamka ukilala instagram na facebook kutupia vipicha vya selfie
Hii thread aione Judith Wambura aka Lady jay D. Huyu dada weekend yake itakuwa murua.