Naondoka na mwiko wangu mkobani.
Duuh kweli kabisaKiumbe mwanaume, haimaanishi tu kuwa na uume, ila ni zaidi ya uume.
Mwanaume wa Leo anatafuta jimama limlee...... huyo sio mwnaume
Mwanaume kutumia mkorogo, wewe sio mwanaume kaanzishe jinsia yako
Mwanaume kukaa vijiweni kupiga majungu, umbea na usengenyaji, dumme ,zima unampiga majungu binti, wewe si mwanaume, katafute jinsia yako.
Dume zima umewekwa kinyumba na mwanaume mwenzako, wewe ni baba yake mkubwa shetani
"Bora nguo utamkuta na hereni zako sikioni"ukipata mwana ume wa this kind atavaa hadi nguo zako za ndani
Kwani kujichubua, kupiga stori vijiweni, kupiga selfies, kuvaa mlegezo etc ndio akili?Acheni kuturudisha miaka ya nyuma Mwanaume kutumia minguvu,ukorof,ubabe na ukali wa kijnga....mwanaume wa sasa anatumia zaid akil kuish kiteknologia,,,ndio maana tulifanywa watumwa na wazungu kwa kukosa akili
Men Wa kwel Dyudyu ifanye kaz na akil kwakichwa
kimyitu sikajapo isya setano, mweee kisu kyonangike fujo aseeeeeDuuh kweli kabisa
Nalori nkamu, I kisu kyonangike fijokimyitu sikajapo isya setano, mweee kisu kyonangike fujo aseeeee
Hahahaha, ahsante kwa kunipa "go ahead"
Maana nilikua naogopa kufanya chochote nitaambiwa nimeingilia uhuru wa mtu.
ACHA UCHOKOZI DHIDI YA WANAUME WETU WA DAR.Mwanaume unakula kitumbua na chai ya Rangi asubuhi alafu unajiita mwanaume, tupa kule wewe.
Hapa ni mwendo wa dona asubuhi alafu unawahi kibaruani, huo ndio uwanaume.
Ni ushetani w ambao hautasamehewa na Mungu milele zote maana amekataza tusivae mavazi yasiyopendezwa kwa jinsia pinzani(kike) na wala Mwanamke asivae mavazi ya kiume.ila haka ka wanaume kuvaa chupi za wake zao kapojeeeeeee maana kamezidi vile majuzi kuna workmate ile kuinama kajipigilia kufuri la mke wake wote chekooooooooo
Aiseee....!!! mbona hii ni shida.Miaka 50 mbali miaka kumi na tano ijayo itakuwa matatizo tutakua tunanyang'anyana makeup ndani na madukani [emoji14] [emoji14] [emoji14]