Mwanaume, kiumbe adimu aliye hatarini kutoweka

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,193
157,336
Kiumbe mwanaume, haimaanishi tu kuwa na uume, ila ni zaidi ya uume.
Mwanaume wa Leo anatafuta jimama limlee...... huyo sio mwnaume
Mwanaume kutumia mkorogo, wewe sio mwanaume kaanzishe jinsia yako
Mwanaume kukaa vijiweni kupiga majungu, umbea na usengenyaji, dumme ,zima unampiga majungu binti, wewe si mwanaume, katafute jinsia yako.
Dume zima umewekwa kinyumba na mwanaume mwenzako, wewe ni baba yake mkubwa shetani
 
Mwanaume unakula kitumbua na chai ya Rangi asubuhi alafu unajiita mwanaume, tupa kule wewe.
Hapa ni mwendo wa dona asubuhi alafu unawahi kibaruani, huo ndio uwanaume.
 

Attachments

  • IMG_20160208_081514.jpg
    IMG_20160208_081514.jpg
    125.3 KB · Views: 31

Similar Discussions

Back
Top Bottom