Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,193
- 144,039
mwanaume unamtongoza mwanamke anakubali kukupa mzigo ukiulizwa eneo la tukio unataka mwanamke akupeleke kwake! shiit huna kwako? hoteli zote mjini huzioni. ukitoswa unaanza kutukana na kusema watu wabaya .
Baby J unapenda hoteli gani hapa mjini?