Mwanaume kama una tabia hizi, badilika

Mwanaume kama una tabia hizi, badilika

Mwanaume kuandika neno "khaaa" kwenye maelezo yake.

Huyo si mwanaume kamili
 
Hahaha...ubuyu mtamu aisee.
Mimi natafuna na mbengu zake kabisa.

But mara nyingi nikimkuta mtu anakula basi na mimi naunga jahazi!
Basy karibu apa tu unge jahazi LA kula ubuyu..... Lkn mwanaume kabisaa midomo inakua myekundu kwa kula ubuyu duuh
 
Eti mwanaume unaoga mara 5 kwa siku sasa sijui huyo dada yako yeye ataoga mara ngapi akiwa Period.

Mwanaume upo room kwako eti unasikiliza nyimbo za taarabu siku nzima, woii acha ujinga na usiende Mombasa. utatuletea aibu. [emoji13]

Mwanaume mzima eti huna hata aibu unamtext rafiki yako wakiume unamuita My.. Khaaa.. ivi we unakili zote kweli.. [emoji23]

Mwanaume eti hadi umri huo hujawahi kusingiziwa hata mimba na hauna mtoto, Mi nakwambia we bado hujawa mwanaume.

Eti mwanaume unakuta unamfukuzia dem miezi 6 na hujawahi kumleta geto japo hata kukutembelea tu, Kudadeq badilika coz huo sio uanaume.

Mwanaume unakula chips kila siku bila aibu; haya we endelea tu sisi tupo na tutatoa msaada pale ambapo dem wako atatushobokea kisa haumridhishi.

Mwanaume upo kwenu na una miaka 28, yaani wewe ni mgonjwa kabisa. kaka ugua pole..

Mwanaume hujawahi kumtoa dem wako Out hata siku moja kisa ubahili, shauri yako sisi tupo tutamtoa tu.. na usilalamike [emoji13][emoji13]

Mwanaume ukipigiwa simu na dem eti unalegeza sauti sasa sijui ili iweje; Acha ujinga mwanaume ni sauti bana. koromoa kama trekta linapanda mlima acha ubwege unajishushia CV..

Mwanaume unapiga punyeto wakati Tanzania ina wasichana zaidi ya milioni 20. Hakika wewe ni mpumbavu hata ukinichukia ndo nishasema .. [emoji39]

Jamani uanaume sio mchezo uanaume ni kazi.

mwanane unapiga punyeto wakati Tanzania ina wanaume zaidi ya milioni 20. Hakika wewe ni mpumbavu hata ukinichukia ndo nishasema ..
emoji39.png
 
Mwanaume kukandia baharia mwenzake ni kauli za ki snitch, majemedar ni kukaza kiroho Castro, kuoga kwa askar top manyota kacha kuna kuhusu nn
Kiroho saafi kila jembe na mitikasi yake then tunakutana jioni tunapiga masanga kila mtu anakufa na 50 zake viva ma king wote duniani
 
Back
Top Bottom