Mwanaume kama una tabia hizi, badilika

Mwanaume kama una tabia hizi, badilika

Hahahaaa! Huwa siogi aiseee. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haipendezi hata kidogo

Wanawake mnakuwa na harufu zenu kali sana ,sasa na wewe ulivyo mchafu kuoga sielewi huyo jamaa unaeishi naye inakuaje

Mimi nisingekuvumilia ningekuwa nakutandika makofi kila siku mpaka ungebadilika mwenyeww na ukawa unaoga bila kushurutishwa.
 
Kwenye X badala ya S hapo kwakwel nakuung mkono, pia mwanaum unakut anakutumia text et "mambo" daaah, huo ni ushamba sana yani, au mnakutana anakusalimia "mambo" ,, mimi kuna jamaa mmoja alkua kanipa kazi sas ile nmkutan nae aend kunionesha kazi yenyew et ananisalimia "mambo" nikamwambia huwa sijibu hiyo salamu akaniuliza kwann nkamwambia basi tuu,, siwezi kukujibu labda ubadili salamu…!!
na wewe umo kwenye lile kundi lenu pendwa maana sijaona utofauti na hao wanaokuandikia 'maambo' umeandika upuuzi ule ule usioupenda
 
Badilisha hiyo 'Q' kwenye dadeq yako uweke 'ki' tofauti na hapo huna tofauti kubwa sana na hao unaowananga. Mwanaume huandika kila neno kwa herufi yake stahiki na kuhusu kuoga hata mara mia ni unadhifu na maamuzi tu. Uanaume si uchafu mkuu.
Mwanaume wa kweli hatii mimba ovyo ili kudhihirisha urijali wake, huo ni upunguani.
Yaliyobaki kati ya uliyoandika ni kweli kabisa....
Mwanaume wakweli ni kujiheshimu na kuwa msafi siyo kutia mimba hovyo, kutokuwa na mtoto hakupunguzi uanaume ndugu, badilika
 
Haipendezi hata kidogo

Wanawake mnakuwa na harufu zenu kali sana ,sasa na wewe ulivyo mchafu kuoga sielewi huyo jamaa unaeishi naye inakuaje

Mimi nisingekuvumilia ningekuwa nakutandika makofi kila siku mpaka ungebadilika mwenyeww na ukawa unaoga bila kushurutishwa.

Hahahaa! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa habari ya kuoga na kusikiliza muziki, Kamwe siungani nawe. Upendacho wewe cyo lazima sote tufananr, endelea kunuka jasho kisa eti uitwe dume?
 
Kwenye X badala ya S hapo kwakwel nakuung mkono, pia mwanaum unakut anakutumia text et "mambo" daaah, huo ni ushamba sana yani, au mnakutana anakusalimia "mambo" ,, mimi kuna jamaa mmoja alkua kanipa kazi sas ile nmkutan nae aend kunionesha kazi yenyew et ananisalimia "mambo" nikamwambia huwa sijibu hiyo salamu akaniuliza kwann nkamwambia basi tuu,, siwezi kukujibu labda ubadili salamu…!!
Na wewe umenikera tayari. Kama ni mwanaume basi na wewe huna tofauti kabisa na uliyemchenjia. Kwanini humalizii maneno?
Kwakwel....
Nakuung...
Mwanaum...
Unakut....

What the helllllll?????!
 
Back
Top Bottom