Hoja imepitaHapo kwenye kufukuzia mtu miezi sita kushanitoa kwenye uanaume.
Kwa sababu mimi huweza kuzidi huo muda kuna mmoja nilianzia shule ya msingi, akanichomolea, tukakutana sekondari, akanichomolea, chuo ndiyo akakubali. Hapo tayari ana mtoto.
Mwingine sekondari alinisemea kwa mwalimu, hiyo kidato cha 2, kufika cha 4 akakubali ila gemu mpaka ndoa, nikakata kamba. Nimemaliza chuo kumbe yeye kashakua nesi Iringa tukakutana fb, ikabidi deni langu likalipiwe Iringa.
Naunga mkono hoja
Hata kama matamu mumy huo ni ufujaji sasa.Hoja zako zina mashiko ila hiyo ya kuoga mwenzanguuuu! Mwache tu aoge ata mara kumi... Maji matamu
Kama hujawahi kupiga puchu umevuka stage ya ukuajiEti mwanaume unaoga mara 5 kwa siku sasa sijui huyo dada yako yeye ataoga mara ngapi akiwa Period.
Mwanaume upo room kwako eti unasikiliza nyimbo za taarabu siku nzima, woii acha ujinga na usiende Mombasa. utatuletea aibu. [emoji13]
Mwanaume mzima eti huna hata aibu unamtext rafiki yako wakiume unamuita My.. Khaaa.. ivi we unakili zote kweli.. [emoji23]
Mwanaume eti hadi umri huo hujawahi kusingiziwa hata mimba na hauna mtoto, Mi nakwambia we bado hujawa mwanaume.
Eti mwanaume unakuta unamfukuzia dem miezi 6 na hujawahi kumleta geto japo hata kukutembelea tu, Kudadeq badilika coz huo sio uanaume.
Mwanaume unakula chips kila siku bila aibu; haya we endelea tu sisi tupo na tutatoa msaada pale ambapo dem wako atatushobokea kisa haumridhishi.
Mwanaume upo kwenu na una miaka 28, yaani wewe ni mgonjwa kabisa. kaka ugua pole..
Mwanaume hujawahi kumtoa dem wako Out hata siku moja kisa ubahili, shauri yako sisi tupo tutamtoa tu.. na usilalamike [emoji13][emoji13]
Mwanaume ukipigiwa simu na dem eti unalegeza sauti sasa sijui ili iweje; Acha ujinga mwanaume ni sauti bana. koromoa kama trekta linapanda mlima acha ubwege unajishushia CV..
Mwanaume unapiga punyeto wakati Tanzania ina wasichana zaidi ya milioni 20. Hakika wewe ni mpumbavu hata ukinichukia ndo nishasema .. [emoji39]
Jamani uanaume sio mchezo uanaume ni kazi.
Labda wanayo mengi... Sio kila sehemu wana shida na maji shosti.Hata kama matamu mumy huo ni ufujaji sasa.
Kupatwa kwa wanaumeWanaume mkuje huku bhana
Hahahahaaaa hatari sana hii.Mwanaume unajiit sweet kama wale chalii wa arusha wanajiita sweet Mangi
Emmyta[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kuna wale wengine mwanaume lakini akisimama kashika kiuno. Huwa nachukiaa
Okay, so mwanaume akitaka kukusalimia unataka akusalimiaje?Mwanaume akinitext mambo au hi simjibu na akinambie good night aghh au badala ya s anaweka x
ufujaji wa nini?Hata kama matamu mumy huo ni ufujaji sasa.
Rudi mkuuKupatwa kwa wanaume
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwanaume akinitext mambo au hi simjibu na akinambie good night aghh au badala ya s anaweka x
Nikwambie sasa mumy wengi wa hivyo ni wale wenzangu na mimi [emoji2] [emoji2] [emoji2]Labda wanayo mengi... Sio kila sehemu wana shida na maji shosti.
Bora tu ukimbie mana kuna baadhi ya wanaune tabia zao ni za hatariKupatwa kwa wanaume
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]