Mwanaume kama una tabia hizi, badilika

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
Eti mwanaume unaoga mara 5 kwa siku sasa sijui huyo dada yako yeye ataoga mara ngapi akiwa Period.

Mwanaume upo chumbani kwako eti unasikiliza nyimbo za taarabu siku nzima, woii acha ujinga na kwanini usiende Mombasa. utatuletea aibu.

Mwanaume mzima eti huna hata aibu unamtext rafiki yako wakiume unamuita My.. Khaaa.. ivi we unakili zote kweli..

Mwanaume eti hadi umri huo hujawahi kusingiziwa hata mimba na hauna mtoto, Mi nakwambia we bado hujawa mwanaume.

Eti mwanaume unakuta unamfukuzia dem miezi 6 na hujawahi kumleta geto japo hata kukutembelea tu, Kudadeq badilika coz huo sio uanaume.

Mwanaume unakula chips kila siku bila aibu; haya we endelea tu sisi tupo na tutatoa msaada pale ambapo dem wako atatushobokea kisa haumridhishi.

Mwanaume upo kwenu na una miaka 28, yaani wewe ni mgonjwa kabisa. kaka ugua pole..

Mwanaume hujawahi kumtoa dem wako Out hata siku moja kisa ubahili, shauri yako sisi tupo tutamtoa tu.. na usilalamike

Mwanaume ukipigiwa simu na dem eti unalegeza sauti sasa sijui ili iweje; Acha ujinga mwanaume ni sauti bana. koromoa kama trekta linapanda mlima acha ubwege unajishushia CV..

Mwanaume unapiga punyeto wakati Tanzania ina wasichana zaidi ya milioni 20. Hakika wewe ni mpumbavu hata ukinichukia ndo nishasema ..

Jamani uanaume sio mchezo uanaume ni kazi.
 
Badilisha hiyo 'Q' kwenye dadeq yako uweke 'ki' tofauti na hapo huna tofauti kubwa sana na hao unaowananga. Mwanaume huandika kila neno kwa herufi yake stahiki na kuhusu kuoga hata mara mia ni unadhifu na maamuzi tu. Uanaume si uchafu mkuu.
Mwanaume wa kweli hatii mimba ovyo ili kudhihirisha urijali wake, huo ni upunguani.
Yaliyobaki kati ya uliyoandika ni kweli kabisa....
 
Badilisha hiyo 'Q' kwenye dadeq yako uweke 'ki' tofauti na hapo huna tofauti kubwa sana na hao unaowananga. Mwanaume huandika kila neno kwa herufi yake stahiki na kuhusu kuoga hata mara mia ni unadhifu na maamuzi tu. Uanaume si uchafu mkuu.
Mwanaume wa kweli hatii mimba ovyo ili kudhihirisha urijali wake, huo ni upunguani.
Yaliyobaki kati ya uliyoandika ni kweli kabisa....
Naunga mkono hoja
 
Hapo kwenye kufukuzia mtu miezi sita kushanitoa kwenye uanaume.
Kwa sababu mimi huweza kuzidi huo muda kuna mmoja nilianzia shule ya msingi, akanichomolea, tukakutana sekondari, akanichomolea, chuo ndiyo akakubali. Hapo tayari ana mtoto.
Mwingine sekondari alinisemea kwa mwalimu, hiyo kidato cha 2, kufika cha 4 akakubali ila gemu mpaka ndoa, nikakata kamba. Nimemaliza chuo kumbe yeye kashakua nesi Iringa tukakutana fb, ikabidi deni langu likalipiwe Iringa.
 
Kwenye X badala ya S hapo kwakwel nakuung mkono, pia mwanaum unakut anakutumia text et "mambo" daaah, huo ni ushamba sana yani, au mnakutana anakusalimia "mambo" ,, mimi kuna jamaa mmoja alkua kanipa kazi sas ile nmkutan nae aend kunionesha kazi yenyew et ananisalimia "mambo" nikamwambia huwa sijibu hiyo salamu akaniuliza kwann nkamwambia basi tuu,, siwezi kukujibu labda ubadili salamu…!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom