Sema yenye joto...Mikoa yenye baridi asilimia kubwa ya wanaume wangekuwa wagumba.
Utafiti uchwara.
Kwanini nisielewe wewe mzee?Unaelewa ulichokiandika?
Muwa wazito sana kuelewa.Sema yenye joto...
typing errors tu hapo ila ameelewa vzuri tu, namimi namuunga mkono huo wala sio utafiti ni matokeo ya mawazo yake yakuwaza sana ngono tu akaamua aandike huo upuuzi, atafute hela!Unaelewa ulichokiandika?
Kama ingekuwa kweli wazungu wangekuwa wamefutika duniani.Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.
Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.
Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.
Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.
Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.
Huu utafiti wa kibongobongo ambao always sio wa kweli. Nchi zinazoongoza kwa baridi nyingi wanaume wao wanaoga maji ya baridi?? Na mbona zina idadi kubwa ya watu??Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.
Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.
Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.
Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.
Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.
ila hii ya wawili ndani do!Hakuna siku niliyooga maji ya barid hata mchana likapiga jua kama la jangwani lazima nichemshe maji kias kwamb watu wa karibu huniona kama nimepewa mashart na mganga, lakin kila nikitungisha mimba ni dume mtoto wa kumi sasa mtaan 8 kwenye ndoa wawili wote wa kiume tu had wake za watu wanaotaman mtoto wa kiume wanani bembeleza kinoma,, sema nini mtoa mada shahawa tu zinakuwa nyepesi sanaa sijawah kojoa bao zito la na niki lala na mwanamke hata iweje huwez nikuta nimekuwa mchovu nikimaliza sex kwenye kunyakua viroba
Haya turudi shule kidogo.Kwanini nisielewe wewe mzee?
Mikoa yenye baridi asilimia kubwa ya watu huoga maji ya moto ila hizo stori za ugumba hakuna.
Tafiti nyingine muwe mnaachana nazo.
Sijaelewa swali lako ila ukisoma comment yangu ya mwisho inaweza kuwa na msaada kwako.Huu utafiti wa kibongobongo ambao always sio wa kweli. Nchi zinazoongoza kwa baridi nyingi wanaume wao wanaoga maji ya baridi?? Na mbona zina idadi kubwa ya watu??
Ume reply bila kusoma content naona. Rudi tena kusomaMikoa yenye baridi asilimia kubwa ya wanaume wangekuwa wagumba.
Utafiti uchwara.