Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Hii ndo idea iliyochangia hadi sada mimi kuwa masikini wa kutupwa. Baada ya kutoka ng'ambo (Ethiopia mjini Tigris) nilikoishi miaka miwili chini ya mwamvuli wa TANGO badala ya kuwa baba mwenye nyumba nikawa baba mwenye gari. Saizi najuta kigari chenyewe niliishakiuza kwa hasara naangaiko na mama mwenye nyunga kwa kodi.
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Sijawahi kuona comment ya kijinga kama hii.Kwa hiyo umeona kuwa na kigari ni kitu cha maana sana.Ningekuona mtu wa maana zaidi kama ungejitapa kwa kuwa unamfahamu Mungu.Mfalme Sulemani wakati wake had riches which the richest man on earth then could only dream about,lakini baadae aliona ni kufukuza upepo,sembuse kagari,halafu unadharau watu.Very stupid.Wewe most probably utakuwa "Nshomile."
 
Sio lazima ni hiari naomba ieleweke hivyo

Kama wewe unalo usilazimishe wasio na uwezo wa kumiliki wamiliki kwa kuwa maisha tunatofautiana na kamwe hatuwezi kuwa sawa
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Unaumasikini wa maarifa
 
Huu ukweli wa kipuuzi sana, sasa unadhani tunapenda kutoka majasho hadi mapajani? muda mwingine mue mnatuonea huruma sisi waenda kwa miguu, alokupa wewe ndio kaninyima mimi..ila poa tu
 
Naona POVU kila comment. Gari ni muhimu sana, mtoa mada nakuunga mkono.

Ila uache dharau, kila mtu ana vipaumbele vyake
 
Tatizo hapa siyo kununua gari tu, je unanunua gari kwa kuwa mizunguko na maisha yako kwa ujumla yanahitaji gari?!

Au unanunua gari kwa sababu fulani amenunua gari?!

Unanunua gari ili uonekane kwenye jamii inayokuzunguka kuwa unayo gari?!

Unanunua gari sababu ya kutaka sifa kuwa unayo gari?

Jifunze kuishi maisha halisi kulingana na uhitaji wako, usijifunze kuishi maisha ya kisanii kuigiza wengine waishivyo itaishia pabaya.
 
Tatizo hapa siyo kununua gari tu, je unanunua gari kwa kuwa mizunguko na maisha yako kwa ujumla yanahitaji gari?!

Au unanunua gari kwa sababu fulani amenunua gari au unanunua gari ili uonekane kwenye jamii inayokuzunguka kuwa unayo gari?!

Unanunua gari sababu ya kutaka sifa kuwa unayo gari?

Jifunze kuishi maisha halisi kulingana na uhitaji wako, usijifunze kuishi maisha ya kisanii kuigiza wengine waishivyo itaishia pabaya.
Kuna kilaza wa kike wakuitwa mdoghosho hatakuelewa
 
Kuna kilaza wa kike wakuitwa mdoghosho hatakuelewa
Asipoelewa mkuu huyo ana matatizo yake, Mimi mkuu nishaona watu wengi tu ambao walinunuaga gari kwa sifa za wanawake na kwenye jamii inayowazunguka, magari hayo yaliwashinda kwa sababu walinunua nje ya uwezo wa kipato chao.

Kununua gari siyo tatizo, tatizo gharama ya kuihudumia kila siku mafuta na gharama za matengenezo ambayo yanahitaji uwe na kipato cha kuihudumia kila siku au yenyewe iwe ya biashara inayoingiza kipato
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
What's wrong?
 
"Kizazi cha sasa kinapaswa kifahamu kwamba kuwa na gari sio mafanikio au utajiri na kutembea kwa miguu sio umaskini"
Nelson Mandela
kama kuna vitu ambavyo vijana huwa nawashauri kwenye kuanza maisha papara ya kununua gari.Gari ya kukusogeza mbele tu kwa kwenye kuanzia itakuumiza sana.Itakuchukua miaka mingi sana ku step kama priolity yako itakuwa gari.Pambana sana fungua miradi then kupitia miradi nunua gari sio mishahara mbuzi ya kibongo tu. utachelewa sana kufikia mafanikio
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Mawazo wa watu masikini. Tajiri hawezi wazia Gari , weka vitega uchumi kwanza Gari siyo lazima , Gari siyo asset ni liability mshahara wako wote unaishia kwenye MAFUTA na repair za kila mwezi. Hivyo kuwa na Gari siyo lazima kama una akili. Mbona hata wenzetu wanatumia public transport uko ulaya na japani iweje wewe kajapa nani ndiyo uone Gari in dili, akili za matakoni hizo.
 
Back
Top Bottom